Recent content by Boykaa

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi manispaa ya Kinondoni ukusanyaji wa anwani za makazi na postikadi

    Mkuu naomba ufafanue mchanganuo wa haya malipo. Wanalipa kwa siku kiasi gani? Na ziezi litachukua muda gani
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ukiitwa kwenye usaili wa Utumishi wa Umma, Jipange

    Asante mkuu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ukiitwa kwenye usaili wa Utumishi wa Umma, Jipange

    Habari yako mkuu. Naomba Kama una notes nzuri za research unisaidie?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ukiitwa kwenye usaili wa Utumishi wa Umma, Jipange

    Habari yako mkuu. Naomba Kama una notes nzuri za research unisaidie?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha nne

    Hata mm naungana na ww kutafuta kazi
  6. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote mkoa wa Arusha

    Mkuu una connection unisaidie?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote mkoa wa Arusha

    Habari zenu wana jamvi. Mimi ni kijana wa kiume natokea mkoa wa Arusha. Ninaomba kwa yeyote mwenye connection ya Kazi yoyote halali kwa mkoa wa Arusha tupeane. Elimu yangu in Shahada ya Uhasibu na Nina uzoefu wa miaka 2 kwa nafasi ya uhasibu na miaka 3 kwa nafasi ya Afisa Masoko kwenye kampuni...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana Vituo vya kazi

    . Sent using Jamii Forums mobile app
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbona wenzake wanaikubali show yangu?

    hahah..kama jina lako vile, kweli ww clueless
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pombe imevunja ndoa yangu

    hahhahah..mkuu nimecheka sana
  11. B

    JamiiForums Tanzania Utoto mitandaoni: Mnamu-overate sana Kagame, hawezi na hatoweza

    WELL SAID MKUU...
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutongozwa na mpenzi ambaye mmeshaachana (ex)

    Hapo kwenye mpenzi wangu wa JF nakupenda sana, ushaua ndege sita kwa jiwe moja
  13. B

    JamiiForums Tanzania Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

    Huu uzi umekaa kimkakati zaidi, kuna kitu mleta mada anajaribu kutaka kukijua?
  14. B

    JamiiForums Tanzania CPA Module F, Notes, Past Exams and Books- ACCA Materials

    mkuu hiyo link mbona haifunguki?
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu amenisaliti na mzazi mwenzake! Nina wasiwasi ataendelea kunisaliti naye

    Naomba nikusahihishe kuwa na wasiwasi sio kulazimisha kitu. Its simply taking precautions. Kumbuka huyu ni mwanamke ambaye nataka siku moja nije nijicommit nae for the rest of my life. Sasa kama huu usaliti umeanza mapema hivi tutafika kweli? Na swala la mm kucheat dont be easy to charge simply...
Back
Top Bottom