Recent content by Bosili

  1. B

    Gazeti la Sauti Huru: CHADEMA Asili mbioni kusajiliwa!

    unafaa kuanzisha biashara ya magazeti kwa "heading hizo" utauza sana lakini kabla hujakaa sawa biashara itakudodea
  2. B

    Mwakyembe katibu mkuu wa wizara yako ndio atakuharibia kazi.

    Hongera juhudi za mwakyembe tumeziona bado DK Mwinyi na wizara yako ya Afya MSD wanangoja nini ofisini na sasa kila mtu kaamua kuchukua chake mapema DODOMA vifaa vya mamilioni vimechomolewa toka bohari na jamaa kwa kulindana utasikia wahusika wamehamishiwa mkoa mwingine angalia Mwinyi kaa na...
  3. B

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    maelezo ya uhakika ni yale ya mwanzo yaliyobaki ni yakufundishwa ili ajiokoe hata ukimuuliza kesho atakupa story nyingine kila kukicha mambo yatabadilika but 'Time will Tell'
  4. B

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    maelezo ya uhakika ni yale ya mwanzo yaliyobaki ni yakufundishwa ili ajiokoe hata ukimuuliza kesho atakupa story nyingine kila kukicha mambo yatabadilika but 'Time will Tell'
  5. B

    Taifa la washabikia uzinzi - Tanzania

    Kazi ya kuhukumu aachiwe Mungu
  6. B

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    sijakupata sawa sawa salam zao
  7. B

    Mwakyembe live bungeni

    Ningekuwa mimi Harrison baada ya kupona nigewaachia kazi yao kulinda heshima na utu na uhai
  8. B

    Nini kimempata Nassari?

    are you sure? au unabuni mambo
  9. B

    kwaherini wana dar es salaam,narudi songea kwetu

    All the best wape hi! wangoni wote, watengo na wapangwa wote, wape hongera kwa kuamka na kuvua shuka la magamba kata ya Lizaboni Udiwani waje wawafundishe wenzao wa temeke bado wamelala hawajui kuwa sasa kumekucha ChiChiEm basi mwe
  10. B

    Lowassa awakumbuka vijana uzeeni

    Mpeni pole amepoteza dira kama ni meli ilikuwa ikielekea kazini imejikuta ipo kusini mashariki wakumtoa wamemgeuka
  11. B

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    itakuwa ni busara kwa CDM kutokata rufaa kwani uchaguzi ukirudiwa mwendo mdundo
  12. B

    Mukama amtetea Lusinde; adai alikuwa anajibu mapigo!

    Ningekuwa mimi ndo ChiChiEm wakati mwingine kukaa kimya ni busara zaidi maana kwa mtaji huo matusi ruksa kunako kampeni
  13. B

    Risala ya wananchi wa Kyela Kwa Mbunge wao Dr. Harrison G. Mwakyembe

    Wanyaki nawafagilia hawataki longolongo na hawalazimishwi na mtu kukubali au kukataa hoja
Back
Top Bottom