Gazeti la Sauti Huru: CHADEMA Asili mbioni kusajiliwa!

Najua watu wengi mtakuwa mmeshtushwa na tittle hapo juu lakini ni challenge kwa wanaCDM na wapenzi wa CDM wote, kama ikitokea hao viongozi vichwa wa CHADEMA wahame wote, Je kweli CDM itasimama? Je watu watajaa tena kwenye mikutano na maandamano ya CDM? Je kutakuwa tena na ujasiri kusema People's power? Au ndio safari ya ukombozi wa 2 wa Tz ndo utakuwa umeishia hapo na 2015 tutaipa tena CCM kura?
Note:
jamani tutafakari kwa makini sub-challenge hiyo na kujichunguza tumejiandaa vipi kwa mabadilko kuelekea 2015 hata kama vikwazo kama hivyo vitatokea katikati mwa safari yetu!

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Shardcole@Tabora1
 
Naunga mkono hoja! Kuna haja ya kuwa na CDM isyoegemea DINI fulani au UKANDA fulani
 
Linamilikiwa na Subash Patel pale MM Integrated, Kijitonyama. Subash wa kashfa ya Chavda, rafiki na Jeetu Patel wa EPA. Jamaa anazo kwelikweli. Alitajwa na Mzee Mengi kuwa kati ya mapapa wa ufisadi.

Ni yule aliyeshirikiana na Lowassa wakauziana jengo la Umoja wa Vijana wa magamba Nape hakuona ngawira zilipitia wapi, ndo akaanza fujo UV magamba mpaka akakosana na rafiki wa marehemu baba yake Mzee Makamba! Kumbukeni msiba wa marehemu mzee Moses Nnauye ulikuwa kwa Makamba jijini.

Ndiye mwenye maghorofa yale mawili pale UV Magamba. Ana kampuni inaitwa Estim inapata tenda nyingi sana serikalini. Inamjengea nyumba mtu mmoja pale magogoni. Ni mwenyekiti wa Mfuko wa maendeleo ya Bagamoyo! nk..nk..nk..nk..kila palipo na pesa kwenye serikali ya magamba, Su

Mkuu tunashukuru kwa kutujuza kwa undani zaidi juu mmliki wa gazeti hili, piga ua hata wafanye nini Tanzania ya sasa si ya enzi za TANU.
 
Najua watu wengi mtakuwa mmeshtushwa na tittle hapo juu lakini ni challenge kwa wanaCDM na wapenzi wa CDM wote, kama ikitokea hao viongozi vichwa wa CHADEMA wahame wote, Je kweli CDM itasimama? Je watu watajaa tena kwenye mikutano na maandamano ya CDM? Je kutakuwa tena na ujasiri kusema People's power? Au ndio safari ya ukombozi wa 2 wa Tz ndo utakuwa umeishia hapo na 2015 tutaipa tena CCM kura?
Note:
jamani tutafakari kwa makini sub-challenge hiyo na kujichunguza tumejiandaa vipi kwa mabadilko kuelekea 2015 hata kama vikwazo kama hivyo vitatokea katikati mwa safari yetu!

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Shardcole@Tabora1

Relax_hakuna kitu kama hicho mkuu.

Nb:Mjeshi akifa_mwingine anzaliwa,hivyo ondoa hofu,..kuna watu wengi sana ndani na nje ya Chadema makini sema hawajapata nafasi_ambapo hao jamaa ikitokea(ingawa ni muhali)wakaondoka watainukia.
 
Ingawa CDM itatetereka lakini unrdogs wapo na wakiendeleza misingi ya chama plus kuibuka kwa vichwa huenda mambo yakaendelea kuwa murua. Ni kweli kabisa kitayumba na wanachama wengine kudiriki kuwafata lakini CDM itaendelea kuwa na populality unaikumbuka NCCR ya Mrema? Kikubwa watu wanataka changes na si umangimeza wa CCM again and again.
 
Habari zingine ni za kupotezea tu. Habari hiyo inavyoonekana ni ya kupikwa tu, haina lolote.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Thread yako kwanini usiunganishe na ile ya Umbea wa Gazeti la Sauti?
Mods do the needful plz!
 
Unataka kusema nini? Pole watu wengi mnachanganya JF na FB.... Huku unatakiwa kufikiria kabla ya kuandika chochote humu maana utakuwa unawapotezea muda Great Thinkers.

Pole tena hii ipeleke FB
 
unafaa kuanzisha biashara ya magazeti kwa "heading hizo" utauza sana lakini kabla hujakaa sawa biashara itakudodea
 
Najua watu wengi mtakuwa mmeshtushwa na tittle hapo juu lakini ni challenge kwa wanaCDM na wapenzi wa CDM wote, kama ikitokea hao viongozi vichwa wa CHADEMA wahame wote, Je kweli CDM itasimama? Je watu watajaa tena kwenye mikutano na maandamano ya CDM? Je kutakuwa tena na ujasiri kusema People's power? Au ndio safari ya ukombozi wa 2 wa Tz ndo utakuwa umeishia hapo na 2015 tutaipa tena CCM kura?
Note:
jamani tutafakari kwa makini sub-challenge hiyo na kujichunguza tumejiandaa vipi kwa mabadilko kuelekea 2015 hata kama vikwazo kama hivyo vitatokea katikati mwa safari yetu!

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Shardcole@Tabora1

je LOWASSA,CHENGE,ROSTAM wakihama ccm ,je kweli kitaendelea kusimama??
 
Najua watu wengi mtakuwa mmeshtushwa na tittle hapo juu lakini ni challenge kwa wanaCDM na wapenzi wa CDM wote, kama ikitokea hao viongozi vichwa wa CHADEMA wahame wote, Je kweli CDM itasimama? Je watu watajaa tena kwenye mikutano na maandamano ya CDM? Je kutakuwa tena na ujasiri kusema People's power? Au ndio safari ya ukombozi wa 2 wa Tz ndo utakuwa umeishia hapo na 2015 tutaipa tena CCM kura?
Note:
jamani tutafakari kwa makini sub-challenge hiyo na kujichunguza tumejiandaa vipi kwa mabadilko kuelekea 2015 hata kama vikwazo kama hivyo vitatokea katikati mwa safari yetu!

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Shardcole@Tabora1

kumbe huko nako kuna intanet???
 
Wewe ungezaliwa iraq panakufaa kwa mawazo yako hayo.maana huko wanaishi kwa kuwaza unavowaza wewe.
 
Najua watu wengi mtakuwa mmeshtushwa na tittle hapo juu lakini ni challenge kwa wanaCDM na wapenzi wa CDM wote, kama ikitokea hao viongozi vichwa wa CHADEMA wahame wote, Je kweli CDM itasimama? Je watu watajaa tena kwenye mikutano na maandamano ya CDM? Je kutakuwa tena na ujasiri kusema People's power? Au ndio safari ya ukombozi wa 2 wa Tz ndo utakuwa umeishia hapo na 2015 tutaipa tena CCM kura?
Note:
jamani tutafakari kwa makini sub-challenge hiyo na kujichunguza tumejiandaa vipi kwa mabadilko kuelekea 2015 hata kama vikwazo kama hivyo vitatokea katikati mwa safari yetu!

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Shardcole@Tabora1

images
 
Kijana umekuja huku ukiwa umelewa ama,leta mada za GT,hapa sio Fb.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Taasisi ni mfumo maana licha ya kuhama hakuna miongoni mwa uliowataja watakaoishi milele hapa duniani JE WAKIONDOKA DUNIANI,FAMILIA ZAO ACHA CHAMA ZITASAMBARATIKA au watoto waamue kuwafuata wazazi kaburini?JIBU NI HAPANA!.Hii hadithi iko gazeti liitwalo Sauti Huru,na kwa kweli hao waandishi wa habari wanajua mnanunua vichwa vya habari na wanawapigia bao hapo hapo,wakijua hamtaki uchambuzi mnataka habari fulani ali..... fulani ana......... fulani ata........ fulani na fulani wana/wata/wali....
hamtaki kitu ya kufikirisha bongo zenu kabisa!
 
Back
Top Bottom