Idimi
Platinum Member
- Mar 18, 2007
- 15,506
- 11,439
Nimeshindwa kupata muunganiko wa mahudhurio ya wabunge wa Chadema na suala la coverage. Ndugu mtoa mada, hivi kuapishwa kwa wabunge ni dili kiasi hicho kiasi kwamba wame-dodge ili wasubiri coverage? Mie nadhani ushindi wa mbunge ni coverage tosha kabisa, na si kuapa bungeni. Ile ya bungeni ni uthibitisho na ukaribisho tu katika nyumba. Hivi mtu kama Nassari anataka coverage gani zaidi ya ile aliyopewa Arumeru LIVE?CDM jana ilishindwa kuwahudhurisha wabunge wake wapya kuapa bungeni kukwepa aibu ya kutopata coverege ya media kwani vyombo vyote vilikuwa na Kanumba....Sasa inashangaza kuwa walikuwa tayari kukiuka kanuni za Bunge kisa wantafuta muda wa kupata coverege....shame!! Hata hivyo hongera kwa Zitto walau kidogo kwa kuamua kuomba radhi kwa tukio hilo......