Risala ya wananchi wa Kyela Kwa Mbunge wao Dr. Harrison G. Mwakyembe

nimerudi.
MY TAKE:Wananchi wa kyela wawe macho!
Wajue Mwakyembe anapita,atakufa lakini KYELA yao itabaki!
Kuendekeza ushabiki wa kipumbavu juu ya MWAKYEMBE huku maendeleo yakiwa kiduchu ni kutowatendea haki watoto wao na kizazi kijach.o

Mytake yako ni kwamba Mwakyembe apewe sumu ili Kyela ipate maendeleo kama ndo hivyo nini maana ya uchaguz?
Kamwela najua wa Ileje moja kati ya wilaya duni za Mkoa wa Mby. Nashuhudia mawazo ya duni. Hatutaki
 
You may crazy, kama ule umati niliouona mm uliletwa basi hicho kikundi kingekuwa tajiri sn, ninaamini ww ni mmoja wa wale wanaotumika kama condom, ndio maana unashindwa kuangalia vitu kwa uhalisia. Furthermore I m sure you are not from Kyela and if so then I regard you as blind minded. Kyela is not the way you think, they have their own power and they will never be driven by you people with such shallow minds.

AAAAAh papapo MKuu, yaani umenikuna sana.Kama anaona haya ni maneno tu, Let the culprit come and they will see.
 
Mm kwetu ni Lufilyo-Ipinda!Dr Mwakyembe HANA NGUVU kwa sasa Kyela sijui mwipwa Banyekile unayatoa wapi maneno haya ya kutunga!Dr Mwakyembe anajua hata yeye kama 2015 anang'oka na hata mwaka 2010 akiwa KASUMULU alitangaza kuwa HATAGOMBEA tena kabla hajabadili uamuzi wake hivi juzi!

Dr Mwakyembe sera zake kuhusu Kyela zimeshindwa na wapiga kura wanalijua hilo na yeye analijua hilo!Ana tu-diverge sasa kutumia vita vya ufisadi ambavyo havimletei faida yeyote mwana Kyela!Vita vya ufisadi vinatakiwa viwe collectively responsibilities ya wabunge wote na wala sio tu aachiwe Mbunge wa Kyela!Anapopayuka kuwa Lowasa ni fisadi ndiyo Kyela hospital inajaziwa madawa?Ndiyo bei ya kakao inaimarika?

Dr Mwakyembe ni msanii tu na Banyakile ni mmoja wao wanaolipwa wajipange STAMICO wamsubiri ionekane kama anaungwa mkono!Kama HAJAJITOA mwaka 2015 ni aibu kwa Dr Mwakyembe!

Acha ujinga wewe. unakumbuka ile kauli mbiu Diwani=CHADEMA, Mbunge=CCM, Rais Chadema.
Wanakyela wanalijua hili. Nipo Ipinda Madukani bahati mbaya naijua lufilyo ya Rungwe.
 
El kuja mby ndo mwisho wako wa maisha sure am tel u!!!,utakula mawe kuanzia uyole,kiwila,katumba,tukuyu,ushirika,kyela ndo usiseme.ww el endelea kumubembeleza mkaza mwana wako elishindwa ubunge
 
Mimi ni mkaazi wa KIKUSYA, njia panda tenende! ingawa kwa sasa nipo nje ya Kyela.
Mwakyembe and Co. acheni kutuyeyusha!
Miaka nane ya Ubunge hakuna cha maana alichofanya, huu ni ukweli
Kila siku visasi tu na visa, na wala hasimamii maendeleo ya Kyela.
Nyie mnaomtetea, semeni kitu gani amefanya kama Mbunge kipindi hiki chote?
Msitawaliwe na mahaba ya kupewa vijisenti mkausahau utu wenu, Kyela maendeleo hakuna na hakuna juhudi za kujikwamua kwa msaada wa mbunge!
Ni muda gani sasa mabomba hayatoi maji, tangu 2006! Mbunge Mwakyembe ameshughulikia vipi?
Bei ya kakao ni ya uchizi kabisa wala haimnufaishi mkulima, harrison amefanyaje zaidi ya kupiga domo la Richmond?
Kuugua kwake isiwe sababu ya kutupofusha na kusahau tunahitaji nini toka kwa mbunge wetu!
Mwakyembe, unadai uanpambana na mafisadi huko nje ya Kyela, lakini mbona ndani ya Kyela umeshindwa?
Fisadi mkubwa ndani ya Kyela ni Afya, na wengine ni Ujinga na kuboresha miundombinu, umeshindwa kusimamia hayo Kyela, mwaisa!
2015 nenda kagombee ubunge wa kupambana na mafisadi huko nje ya kyela kama upo, waache wengine wagombee ubunge ili wasimamie maendeleo ya Kyela, papo ugwe utoligwe malafyale!
Pafyene.
 
Ni mwana Kyela!Hamna risala kama hiyo iliyoandaliwa kwa sababu ya Dr Mwakyembe kwani HANA NGUVU TENA KISIASA na hata kupita kwenye kura za maoni CCM mwaka 2015 hawezi!Kyela imec

hoka na visingizio vya Dr Mwakyembe tukimuuliza kuhusu maendeleo!

Kyela's MP seat itakuwa very hot mwaka 2015 na Dr Mwakyembe sio mmoja wao na ninahisi akiona kuwa hali sasa kwake kisiasa ni mbaya ATAJIONDOA MWENYEWE!
Ndugu nasikitika kwamba unabishana na ukweli, Mwakyembe kwa Kyela ni vigumu sana kumtoa kama unavyodhani, hakuna kikundi bali wana Kyela walimsomea Dr. Hiyo rislala hapa Ipinda na aliyesoma anaitwa Spaita Mwampuga. Ambao hamuishi Kyela mnadanganywa na wapambe. Malafyale tembelea Kyela hakuna kikundi, hivi maendeleo yapi unayoyataka? Yakupewa pesa za mafisadi? Mwakyembe amefanya maajabu Kyela tofauti na wote waliopita.
 
Bakenyile,
Spaita Mwampuga alisoma baada ya diwani wa Ipinda Dr. Hunter kukataa kuisoma. Hiyo risala ilitoka Dar, haikuandikwa na watu wa kyela. Dr. Hunter alipoiona akashutuka na kukataa kuisoma.

Jamani mwogopeni hata mungu wenu, mtaendelea mpaka lini na hizi siasa za propaganda? Fanyeni kazi na wilaya yetu isonge mbele.
 
Mimi ni mkaazi wa KIKUSYA, njia panda tenende! ingawa kwa sasa nipo nje ya Kyela.
Mwakyembe and Co. acheni kutuyeyusha!
Miaka nane ya Ubunge hakuna cha maana alichofanya, huu ni ukweli
Kila siku visasi tu na visa, na wala hasimamii maendeleo ya Kyela.
Nyie mnaomtetea, semeni kitu gani amefanya kama Mbunge kipindi hiki chote?
Msitawaliwe na mahaba ya kupewa vijisenti mkausahau utu wenu, Kyela maendeleo hakuna na hakuna juhudi za kujikwamua kwa msaada wa mbunge!
Ni muda gani sasa mabomba hayatoi maji, tangu 2006! Mbunge Mwakyembe ameshughulikia vipi?
Bei ya kakao ni ya uchizi kabisa wala haimnufaishi mkulima, harrison amefanyaje zaidi ya kupiga domo la Richmond?
Kuugua kwake isiwe sababu ya kutupofusha na kusahau tunahitaji nini toka kwa mbunge wetu!
Mwakyembe, unadai uanpambana na mafisadi huko nje ya Kyela, lakini mbona ndani ya Kyela umeshindwa?
Fisadi mkubwa ndani ya Kyela ni Afya, na wengine ni Ujinga na kuboresha miundombinu, umeshindwa kusimamia hayo Kyela, mwaisa!
2015 nenda kagombee ubunge wa kupambana na mafisadi huko nje ya kyela kama upo, waache wengine wagombee ubunge ili wasimamie maendeleo ya Kyela, papo ugwe utoligwe malafyale!
Pafyene.

Ishu hapa ni kwamba Luwassa asiguse Kyela.
Kuhusu ubunge na utendaji hilo liko ndani ya wapiga kula wake Dr.
 
Bakenyile,
Spaita Mwampuga alisoma baada ya diwani wa Ipinda Dr. Hunter kukataa kuisoma. Hiyo risala ilitoka Dar, haikuandikwa na watu wa kyela. Dr. Hunter alipoiona akashutuka na kukataa kuisoma.

Jamani mwogopeni hata mungu wenu, mtaendelea mpaka lini na hizi siasa za propaganda? Fanyeni kazi na wilaya yetu isonge mbele.

Hunter alimhonga pesa wakala wa Chadema kuchakachua ushindi wa E. Mwaijumba.
Tuanzie hapa mkuu kama unalijua hili basi nyamaza. Je Hunter anasikilizwa na wapiga kura wa Ipinda?
 
. Hakuna Mbunge aliefanya makubwa Kyela kama Mwakyembe!

Dr Mwakyembe kafanya makubwa Kyela?Unaweza nitajia hayo makubwa aliyotufanyia?Dr Mwakyembe ni janga la Wilaya ya Kyela na mwaka 2010 alikwisha pima upepo wa kisiasa na akasema HATAGOMBEA lkn kwa uroho wa madaraka likely kabadili mawazo!Kweli madaraka matamu sana lkn 2015 apende asipende anang'oka!

Sera zake za kiuchumi,kiafya,kielimu,kijamii hata kimichezo ZIMEFELI!
 
Mimi ni mkaazi wa KIKUSYA, njia panda tenende! ingawa kwa sasa nipo nje ya Kyela.
Mwakyembe and Co. acheni kutuyeyusha!
Miaka nane ya Ubunge hakuna cha maana alichofanya, huu ni ukweli
Kila siku visasi tu na visa, na wala hasimamii maendeleo ya Kyela.
Nyie mnaomtetea, semeni kitu gani amefanya kama Mbunge kipindi hiki chote?
Msitawaliwe na mahaba ya kupewa vijisenti mkausahau utu wenu, Kyela maendeleo hakuna na hakuna juhudi za kujikwamua kwa msaada wa mbunge!
Ni muda gani sasa mabomba hayatoi maji, tangu 2006! Mbunge Mwakyembe ameshughulikia vipi?
Bei ya kakao ni ya uchizi kabisa wala haimnufaishi mkulima, harrison amefanyaje zaidi ya kupiga domo la Richmond?
Kuugua kwake isiwe sababu ya kutupofusha na kusahau tunahitaji nini toka kwa mbunge wetu!
Mwakyembe, unadai uanpambana na mafisadi huko nje ya Kyela, lakini mbona ndani ya Kyela umeshindwa?
Fisadi mkubwa ndani ya Kyela ni Afya, na wengine ni Ujinga na kuboresha miundombinu, umeshindwa kusimamia hayo Kyela, mwaisa!
2015 nenda kagombee ubunge wa kupambana na mafisadi huko nje ya kyela kama upo, waache wengine wagombee ubunge ili wasimamie maendeleo ya Kyela, papo ugwe utoligwe malafyale!
Pafyene.
cha Moto Ndugu yangu nafurahi kwamba haupo Kyela kwahiyo huna haja ya kuijadiri Kyela ambayo huijui. Nyamaza. Hakuna ambapo Mwakyembe anasingizia, unayoyasema ni hadithi na kama yale aliyoyafanya Mwakyembe yanaweza yakafanywa na Mbunge mwingine au ww basi huyo atakuwa malaika. Mwakyembe ndie Simba wa Yuda. Mlolongo wa aliyoyafanya Mwakyembe ni mrefu. Kwa taarifa tu katika afya Kyela ni ya kwanza kimkoa au hujaambiwa kwamba sasahivi ukiumwa gari ya wagonjwa inakufwata nyumbani na unabebwa bila kuchangia chochote? Au nikupe mpya moja kwamba mwezi wa tano chuo kikubwa Cha Kyela Polytechnic kinafunguliwa? Cha Moto na Malafyale mlie tu, kingine basi niwamegee? Mkandarasi ameshapewa barabara ya Lami ya Kikusya - Matema hiyo nitaarifa kutoka kwa meneja wa Tanroads Mbeya.
 
Kutoishi ndani ya Kyela sio kwamba hatufiki kutembelea na kuhani misiba!!!?? TUNAKUJA sana tu.
Nilikuwepo Kyela mara ya mwisho December 2011, nilikaa wiki mbili huko,
Hata hivyo nina haki ya kuijadili Kyela kwani mimi ni mwana Kyela, kama ni hivyo hata huyo Mwakyembe hana haki ya kuwa mbunge wa Kyela kwa kuwa anaishi nje ya Kyela!
Hoja yako ya kuwa tunaoishi Kyela hatuna haki ya kujadili Kyela ni ya kibaguzi, wasiwasi, woga na ujinga!
Ni meuliza suala la maji hayatoki mabombani tangu 2006, na kuna mtandao mzuri sana, amefanya nini?
Hospital ya kYela, acha kuongea mambo ya kusadikika, wamama wanapata shida ya usafiri wa gari la wagonjwa kule Ngonga, Nkokwa, Talatala na kwingineko, we unakuja na hadithi za gari kukufuata hadi mlangoni! wewe umepofushwa
Kuwa na shule za kidato cha Tano na Sita mbili tu nayo ni cha kujivunia!
hadithi ya mkandarasi kujenga barabara ya Kikusya Ipinda Matema mbona tumeizoea si ya leo hiyo,
Bei za mazao mbona ziko chini au sio suala la Mbunge?
Mwakyembe atakuwa simba wa Yuda kwako na wala si kwa watu wa Kyela wanaohangaika na kutafuta Zahanati na madawa kwenye kata zao!
Ni simba wa Yuda kwa wale anaowapofusha kwa kitu kidogo, na kushindwa kujua maana ya maendeleo yanayotakiwa kuletwa kwa nguvu ya Mbunge ambaye pia ni Naibu Waziri!
Fumbuka ndugu, Kyela ni yetu sote, tunachoangalia ni maendeleo kwa jamii ya watu wa Kyela, hakuna kulambana miguu kama unavyofanya! Nimetangaza tayari nakuja kuwatumikia watu wa Kyela kuanzia next year, naacha kubeba box.
Bakenyile, kange abhikokenya fijo lenga mkwendelela na minongwa gyenu! utikoketa akaja kanunu aka Kyala atupele, fiki tuje bha mmalekesyo?
 
hakuna wana kyela hapo,nyie ni kakundi cha watu wenye njaa zenu.mmekalia kugawa wana kyela bila sababu.wajinga nyie hamna kitu chochote.lini mpokelewa anaandaa mapokezi na kujaza bodaboda mafuta.kudadadek nyie,wapuzi kabisa,wilaya haina kitu nyie maugonvi tu.
wewe ndo mshenzi mubwa,hizo bahasha za mafisadi zimebaka akili yako kiasi hicho,wewe wa kyela wapi,kafie huko mtumwa wa mafisadi,mumbwa mwitu we usiyefaa hata kwa ulizi wa nyumba
 
hamna kitu hapo, mwakyembe na kundi lake vs lowassa na kundi lake. Kundi la mwakyembe lipo weak, linajidai ni kundi la uma, ila nao ni wale wale tu , wanazuga eti wananchi wote bila kujali itikadi za kisiasa, wapi wewe???? Kimsingi huyu na mzee sitta nawaona hatari kuliko huyo lowasa lowasa tunamjua ni adui , that is the point of winning, hawajamaa wanafiki sana, wanajidai wameweka maslai ya uma mbele ila still wana ajenda zao, mwakyembe akife mbali + sitta akafie mbali + lowassa akafie mbali hatuwaitaji woote ni walewale, wana conflict of interest , wanapambana kikundi cha akina mwakyembe ni weak na kinatumia wananchi kama shield, wanajamvi, hawa jamaa wote tuwapige chiniiii
mshenzi mubwa wewe maisha ya watu ni zaidi ya siasa ,pia yawezekana wewe ni mkimbizi au huna akili timamu kwa hitimisho la kipuuzi kama hili,ondoa pua yako kwenye mtandao na ukakae kwenye vijiwe vya kahawa,baba yako angekuwa robo ya sitta/mwakyembe ungekuwa na akili timamu.
 
kumshabikia mwakyembe inatakiwa akili ya maiti au "ikhighune"maana yeye ni gamba la kinyonga,kila siku anakuja na mbinu za uongo,maendeleo kyela hakuna,.toka tumchague mwakyembe,amefanya nini,zaidi ya lowasa lowasa,mara mwakipesile alikuwa ananikwamisha,sasa mwakipesile hayupo hamsemi tena.mwakyembe ni gamba la kinyonga na bangi za malawi.
kaoge motoni,mpuuzi mkubwa wewe,tatizo ni akili zako zilizochanganyikana na matope,mtumwa wa mafisadi,naona tayari wamebaka vizuri akili zako.
 
Back
Top Bottom