haaahaaaaaaa nimekusoma unamawazo ya kijinga sana, kudhani kuwa mbowe ndo tatizo unajidanganya. cdm ni chama chenye dira hakiwezi kufa kama mnavyokiombea. hivyo vyama yenu vya wazalendo ndo mtajua hakuna uzalendo ni ubabaishaji tu. cdm iko juu hakuna chama cha kukishusha, mapinduzi wenyewe...
mbagala mipango jamaa pengine kapelekwa sokoni.
maana rahisi mtu kakaa kimya
nini maana yake.
hawa wabongo wako tayari kupoteza usimamizi kwa kitu kidogo tu.
"lazima aongee asidaiwe'', lakini hana cha ziada, kisha maliza yote yeye asubiri 25 october wananchi watamjibu.
labda anataka kuwafurahisha aliokutana nao serena hoteli kabla ya kuongea na waandishi.
rafiki yangu umepoteza matumaini kabisa ya ushindi, kiasi cha kuwaza udini juu ya ukawa. nataka ufahamu
1. vyama hivi hasa cdm ni chama chenye ushawishi mkubwa katika maeneo yenye ukristo zaidi
2. ni dhana potofu kwa waisilamu kuwa chama hicho ni cha wakristo, hata wewe.
3. ni ujinga wa...
he deserve to be our president pls choose YES EL. tatizo ccm haiaminiki mambo ya serkali yake hayafuati sheria, katiba hawaijari mpaka litoke tatizo, haki za msingi zinaminywa, bora wakae pembeni wajisahihishe, tunawapanda lkn hawapendeki 50yrs
nawashangaa watu kama wewe mnaotutaka tuamini kuwa ccm ndo wanaoweza kutupa maisha bora miaka 5 ijayo ikiwa miaka zaidi ya 50 wameshindwa. kupambana na kazi ili tutoke lazima lakini mabadiliko ya kutupa mazingira wezeshi
umejitahidi sana kuandika hisia zako za uwongo
lakini hiyo haiwezekani kuishi kwa historia.
bado naamini yaliyopita yamepita
huu ni mwaka wa mabadiliko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.