Ushindi wa Magufuli utaletwa na UKAWA

Ushindi wa Magufuli utaletwa na UKAWA

Hebu tueleze kinaga ubaga! Jana Mh: JP Magufuli katika dhana ya kuondoa umasikini, alionyesha njia au mkakati upi atakaotumia kuondokana na umasikini?

Mi sina chama lakin Jana kama ulisikiliza hotuba ya Mr magufuri ukashindwa ona mikakati unamapungufu furan kama hukusikiliza itafute lkn magufuri anakitu ngoja tumsubiri Lowasa
 
CCM ushindi ni mapema kabla ya saa 7 kura zimetosha saa 8 nakuendelea kura za ziada zileee tunazita zakishindo
 
Ushindi wa magufuli utaletwa ma kuacha matusi, mihemko, papara kwenye kampeni na kueleza kwa undani atafanya nini, la sivyo ni ukawa kilunda kura kwa nguvu na watu wakabidhi nchi, la sivyo ICC itawahusu watu..
ukawa hakuna kucheka na haya manyani, ni kukaza mwanzo mwisho..

"Bachelor" laiti ungejenga hoja tungekupa heshima yako.

Kwa mara ya kwanza ktk nchi yetu tunampata kiongozi wa aina ya Mwl Nyerere katika falsafa yake ya misingi ya maendeleo, moja ikiwa uongozi bora. Magufuri amekuwa kiongozi wa kwanza kutafsiri sera na ilani ya chama chake kwa ahadi zake mwenyewe ambazo zinapimika (measurable). Kwa mfano ameahidi viwanda vya samaki pwani ya bahari. Tutampima kwa hilo na kadhalika. Ni ahadi za kisayansi.
 
Mi sina chama lakin Jana kama ulisikiliza hotuba ya Mr magufuri ukashindwa ona mikakati unamapungufu furan kama hukusikiliza itafute lkn magufuri anakitu ngoja tumsubiri Lowasa

Lowasa yake mafupi tu watu wanataka mabadiliko yapi?? hayataji!!!! Pili ataunda serikali rafiki wa maskini(Bodaboda na Mama ntilie). Yani amejipanga kutafuta kura kwa bodaboda na Mama ntilie ambazo kwa nchi nzima sijui kama wanafika laki 5.

UKAWA wanayokazi kubwa kujibu na kujenga hoja badala ya kutoa majibu mepesi na matusi tu
 
Kwa hotuba ya jana ya Magufuli ameshashinda uchaguzi anasubiri kuhapishwa tu!
 
Sio suala la ukaskazini tu, tazama na udini pia, katika wabunge wa Chadema nchi nzima wataogombea 154 kuna wabunge 9 tu waislamu hii imekaa kijuha kabisa, niiteni mdini lakini chama cha kitaifa kuwa hivi kwenye nchi yenye idadi karibia sawa ya Waumini uniambie hakuna wenye vigezo ila wao tu kwangu naona ni maagizo toka kwa wafadhili CDU chama cha kijerumani, tujikumbushe mzee wao Mtei aliposema wakati wa katiba, wajumbe wengi wa katiba ni waislamu, Leo mbona hasemi wagombea wengi waislamu?

rafiki yangu umepoteza matumaini kabisa ya ushindi, kiasi cha kuwaza udini juu ya ukawa. nataka ufahamu
1. vyama hivi hasa cdm ni chama chenye ushawishi mkubwa katika maeneo yenye ukristo zaidi
2. ni dhana potofu kwa waisilamu kuwa chama hicho ni cha wakristo, hata wewe.
3. ni ujinga wa baadhi ya viongozi wa serikali (waisilam) walioeneza chuki dhidi ya cdm nakuletea taifa mitazamo kama hiyo ya kwako ya udini.

fahamu ukristo siyo chama wala dini yenye kutawala duniani, tutatawala pamoja na kristo mbinguni waislamu wote tunawaalika kwenye kalamu yetu na kristo. achana na dini njoo kwa yesu uwe huru, utiwe nuru.
 
Naomba uniambie wakati mzee mtei anasema bunge la katiba lina wajumbe wengi waislamu, alikuwa na maana gani? Ukinijibu hapo ntaelewa maneno yako
 
Udini na ukabila pelekeni lumumba. Sisi wengine hatuangalii vitu vidogo hivyo. Dini au kabila havimfanyi mtu akawa mchapakazi au mwadilifu. Watanzania kama mnataka maendeleo ya kweli acheni kabisa kuongelea udini na ukabila. Kwanza ni mtu mpumbavu tu atakayewaza ukabila na udini.

UKAWA hawana maono kabisa.MIKUTANO yao inahudhuriwa na watu laki mbili hadi tatu.lakini wanaomba kufanyia mkutano uwanja wa taifa wenye uwezo wa watu elfu 60
 
Lowasa mkristo arusha mbowe mkristo mnyika mkristo halima mkristo mwenyekiti bavicha mkristo katibu mkuu cdm mkristo mwanasheria mkuu mkristo sumaye mkristo. Mabere mkristo.
 
Mzee Cleopa Msuya...Fredrick Sumaye...Edward Lowassa hawa wote walikuwa mawaziri kwa nyakati tofauti na wametoka kaskazini,je hapa napo kulitazamwa ukanda?
 
LOWASSA huyu hatufai FISADI.USHAHIDI ANAO DR SLAA
 
Uchambuzi wa kipuuuuuzi. Ma wa zo mfuuu. Mpelekeee nape hiyo sio ss. Hatudanganyiki tena kijinga hivyo ww
 
Nyie endeleeni na propaganda zenu hizo za kishetani,kwahiyo sisiwatu wakaskazini hatuna haki ya kuongoza nchi hii au ndo mumeamua kututenga mnafikiri sisi hilo tunalifurahia?
 
Hebu tueleze kinaga ubaga! Jana Mh: JP Magufuli katika dhana ya kuondoa umasikini, alionyesha njia au mkakati upi atakaotumia kuondokana na umasikini?

Si uchukue ilani usome mwenyewe mkuu
 
Back
Top Bottom