Ukimya wa Professor Safari unamaanisha nini?

Hivi ukiwa CCM unakuwa tahaira au? Prof. Safari hatakuwaje mgombea mwenza wa Dr. Slaa wakati yeye ni mtanganyika wa Tanga na Dr ni wa Arusha? Someni acha umbumbumbu hata kama CCM mtaji wenu ni ujinga
 
safari_lowassa_2.jpg

Professor Safari akipokea fomu za Edward Lowassa aliporejesha kuwania Urais kupitia CHADEMA​

Kwa wataalamu wa saikolojia tabasamu la safari halitoki moyoni.

mdomo wa kulia umekenua kuionyesha jamii kuwa amefurahi.lakini mdomo upande wa kushoto umenuna kuashiria moyoni hafurahii!

kwa wasiofahamu ni kuwa uso waweza kugawanywa katika pande mbili yaani kulia na kushoto.ili kitu kiwe ni kweli kutoka moyoni na machoni basi pande zote lazima zikunjuke!!
 
Wakati professa Safari anaingia chadema na hatimaye kupewa umakamu mwenyekiti tuliwasikia vijana wa bavicha wakisema huyu atakuwa mgombea mwenza wa Slaa.

Baada ya mafuriko ya ngawira kuikumba chadema naiona ndoto ya msomi huyu kuyeyuka ghafla na haonekani kama kiongozi ndani ya chadema.

.mgombea mwenza anatokea znz mkuu
 
Nimejaribu kufuatilia siasa za chadema/ukawa kwa muda tokea aingie Lowasa kumekuwa na kutokuelewa kwa viongozi wa ngazi za juu.huyu professor alikuwa so potential kwa chadema mbona leo hii simsikii wala kumwona majukwaani au ameungana na Dr slaa au Professor mwenzie.

huna habari alishajiuzuru kimyakimya aligundua chama kimeshauzwa
 
Unamaanisha prof angekuwa honest kama hivi au vpi? Jingalao hawa kwenye picha?

20610_998656186841894_3920155175280298684_n.jpg

Kwa wataalamu wa saikolojia tabasamu la safari halitoki moyoni.

mdomo wa kulia umekenua kuionyesha jamii kuwa amefurahi.lakini mdomo upande wa kushoto umenuna kuashiria moyoni hafurahii!

kwa wasiofahamu ni kuwa uso waweza kugawanywa katika pande mbili yaani kulia na kushoto.ili kitu kiwe ni kweli kutoka moyoni na machoni basi pande zote lazima zikunjuke!!
 
Wakati professa Safari anaingia chadema na hatimaye kupewa umakamu mwenyekiti tuliwasikia vijana wa bavicha wakisema huyu atakuwa mgombea mwenza wa Slaa.

Baada ya mafuriko ya ngawira kuikumba chadema naiona ndoto ya msomi huyu kuyeyuka ghafla na haonekani kama kiongozi ndani ya chadema.

Hivi angekuaje mgombea mwenza wakati sio mzanzibari? Usishabikie kwa kupeleka akili likizo
 
Nimejaribu kufuatilia siasa za chadema/ukawa kwa muda tokea aingie Lowasa kumekuwa na kutokuelewa kwa viongozi wa ngazi za juu.huyu professor alikuwa so potential kwa chadema mbona leo hii simsikii wala kumwona majukwaani au ameungana na Dr slaa au Professor mwenzie.

Je nani alipokea fomu pindi EL anarudisha kama kweli unafuatilia siasa za CDM?
 
Nimejaribu kufuatilia siasa za chadema/ukawa kwa muda tokea aingie Lowasa kumekuwa na kutokuelewa kwa viongozi wa ngazi za juu.huyu professor alikuwa so potential kwa chadema mbona leo hii simsikii wala kumwona majukwaani au ameungana na Dr slaa au Professor mwenzie.

Prof safari kasafiri.
 
Kwa wataalamu wa saikolojia tabasamu la safari halitoki moyoni.

mdomo wa kulia umekenua kuionyesha jamii kuwa amefurahi.lakini mdomo upande wa kushoto umenuna kuashiria moyoni hafurahii!

kwa wasiofahamu ni kuwa uso waweza kugawanywa katika pande mbili yaani kulia na kushoto.ili kitu kiwe ni kweli kutoka moyoni na machoni basi pande zote lazima zikunjuke!!

Psychology ipi uliyo jifunza ndugu?
 
kutwa nzima uko tbccm na kingamuzi chako cha startimes then unategemea kumsikiliza profesa.. utakuwa unasubiri meli airport
 
Nimejaribu kufuatilia siasa za chadema/ukawa kwa muda tokea aingie Lowasa kumekuwa na kutokuelewa kwa viongozi wa ngazi za juu.huyu professor alikuwa so potential kwa chadema mbona leo hii simsikii wala kumwona majukwaani au ameungana na Dr slaa au Professor mwenzie.

We Mbwiga kweli Safari yupo sana tu tena.anapiga kazi wapo na akina Baregu wanaandaa manifesto
 
Nimejaribu kufuatilia siasa za chadema/ukawa kwa muda tokea aingie Lowasa kumekuwa na kutokuelewa kwa viongozi wa ngazi za juu.huyu professor alikuwa so potential kwa chadema mbona leo hii simsikii wala kumwona majukwaani au ameungana na Dr slaa au Professor mwenzie.

juzi kati alikuwa kwenye inter view ITV kwenye kipindi cha "siasa za siasa"
na alikuwa yeye na prof. Kitila mkumbwa
fuatilia siasa kwa kina ndipo uropoke
 
Nimejaribu kufuatilia siasa za chadema/ukawa kwa muda tokea aingie Lowasa kumekuwa na kutokuelewa kwa viongozi wa ngazi za juu.huyu professor alikuwa so potential kwa chadema mbona leo hii simsikii wala kumwona majukwaani au ameungana na Dr slaa au Professor mwenzie.

najiuliza tangu magufuli apitishwe na kikwete, sijui sita kapotelea wapi
 
Kwa wataalamu wa saikolojia tabasamu la safari halitoki moyoni.

mdomo wa kulia umekenua kuionyesha jamii kuwa amefurahi.lakini mdomo upande wa kushoto umenuna kuashiria moyoni hafurahii!

kwa wasiofahamu ni kuwa uso waweza kugawanywa katika pande mbili yaani kulia na kushoto.ili kitu kiwe ni kweli kutoka moyoni na machoni basi pande zote lazima zikunjuke!!
We binti, una kila dalili za upiga ramli chonganishi na muuaji wa vikongwe na albino!
 
Back
Top Bottom