Kilimo chenyewe mbona mazao bei chini pia. Na jukwaa litatusaidiaje kupata ajira au kujiajiri. kama kuna mtu ana ushuhuda wa kikundi kilichofanikiwa basi tufanye.
Nawasalimu tena,
Haya mambo wakati mwingine huwa ni kwa neema tu za Mwenyezi Mungu. Leo tunaianza Jumapili kwa kumshukuru Mungu kwa ukuu wake upitao nguvu za kibinadamu. Ndugu yetu Mwita Waitara alikuwa Rais wetu pale UDSM miaka hiyo na amepambana katika maisha na leo, anakuwa Naibu Waziri...
Nakumbuka wakati nalima mahindi mkoani Rukwa miaka hiyo, kuna jamaa walikuwa wanatubania sana katika bei. Kuna bwana mmoja akaamua kununua mahindi yetu kwa bei nzuri akahifadhi hadi bei ilipokuwa nzuri. Wale waliokataa kununua awali walipokuja kutulazimisha tulime na kuuza kwao, tuliwaeleza sisi...
Kuna tetesi kuwa wabunge 'wazito' na 'wenye ushawishi' kutoka kundi la UKAWA watahamia CCM muda wowote kuanzia sasa. Hili likifanyika, litadhoofisha sana timu iliyobaki upinzani.
Yetu macho!
GENTAMYCINE, kwa mtazamo wangu, sidhani kama ‘IKULU TANZANIA’ inatumiwa. Katika makala yako unamtaja ‘Mkurugenzi wa Habari Ikulu’, nikusahihishe kidogo, Ndugu Msigwa ni ‘Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais- Ikulu’. Nionavyo mimi, ‘clip’ unayoizungumzia na hotuba ya Mhe. Rais John Pombe Magufuli...
Ulitaka Post zijae kama mia kila mwezi, au wewe huna kazi za kufanya unashinda kwenye blogs tu unadhani watu wote wako kama wewe. Acha ushamba ndugu yangu.
”Badala yake Halmashauri zimekuwa zikiripoti na kutoa taarifa ya upandaji wa miti kadhaa lakini unapozunguka kwenye Halmashauri kutaka kujua hiyo miti.. haipo!” Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan
Sio siri huyu mama huwa namu-admire sana. ni mchapa kazi sana na ana busara sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.