World Bank Operations in Tanzania Remain Sturdy Despite Kenyan False News Machinery

Upumbavu mtupu...

Ka-website ni ka-blog kakipumbavu kabisa.....

January hakuna post hata moja,

February post hata moja

March post 14 zoote kusifia TZ na Magufuli

April 11posts the same way

May 8posts nazo ni upumbavu huo huo..

June nayo ni viposti tuwili tu navyo ni hovyo kabisa...

July HAKUNA POST YOYOTE,nadhani walipoteza network..

August kaibuka na viposti vi 5 navyo mule mule

September HAKUNA POST YOYOTE..nadhani walivimbiwa

October vipost vitatu tu..navyo ni mavi matupu ya serikali sikivu..

November ndio wamekuja na vipost tuwili so far...mavi matupu..

Hii dunia ya CCM bwana...pumbafu watupu.
Ulitaka Post zijae kama mia kila mwezi, au wewe huna kazi za kufanya unashinda kwenye blogs tu unadhani watu wote wako kama wewe. Acha ushamba ndugu yangu.
 
Ulitaka Post zijae kama mia kila mwezi, au wewe huna kazi za kufanya unashinda kwenye blogs tu unadhani watu wote wako kama wewe. Acha ushamba ndugu yangu.

Mkuu,ki-blog hakina hadhi ya kua authoritative kama mnavyotaka kutuambia..

Ni ka-blog ka propaganda za CCM..na hiyo ipo wazi...

Yaani mmeikopi kwa mbwembwe as if ni NYT vile kumbe ni blog ya kama Mange Kimambi...

What a joke!

Wewe ndio mshamba wa kushabikia blog na kutulazimisha tuiamini...

Infact blog ya Millard Ayo ina authority zaidi ya huo upumbavu..Deal with it!
 
Back
Top Bottom