Mungu anawaumbua, Mbowe safisha Chama mapema

Nelson Masaduki

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
346
Reaction score
381
Kama nilivyopokea. Taarifa zaidi zitawajia na tutasikia mengi sana kabla ya mwaka huu kuisha. Hizi watalaam ndio huita sayansi za siasa. Unamuunga mkono 'kimwili' na 'kiroho' uko kwingine. Bora kuwa mtu wa kubeti tu. Nitakuja na details Zaidi punde, ngoja niulizie nyama zaidi
 
Kweli pombe ni adui wa akili. Hizo Valuer na njaa usiku huu ni hatari kwa afya yako
 
Ku2pa presha 2.....umeshndwa kulala cjui umepgwa na mhindi......
Mfyuuuuuuu.....mekupa bonge la sonyo kwa sred iso naaana!!
 
Kama nilivyopokea. Taarifa zaidi zitawajia na tutasikia mengi sana kabla ya mwaka huu kuisha. Hizi watalaam ndio huita sayansi za siasa. Unamuunga mkono 'kimwili' na 'kiroho' uko kwingine. Bora kuwa mtu wa kubeti tu. Nitakuja na details Zaidi punde, ngoja niulizie nyama zaidi
Uchafu wa Chama ni Dikteta Mbowe, wanaokimbia wanakimbia Uchafu.
Na bado mpa wazee wa chama watakapo kuwa na ujasiri wa kumwambia ukweli.
 
Kundi la wanaCCM makini wanaihamia kimyakimya limeingezeka sana Makonda atakula samani zake.
 
Muda utazungumza. Leo ni JUMATATU njema sana kwetu. Hebu tuendelee kutega masikio yetu, mambo mazito yaja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom