Dada umeongea kitu cha msingi sana rafiki yangu alitokewa na kitu kama hicho na mke wake akamtamkia kuwa amepata mume wa ndoto yake ..jamaa akasononeka na akaachana nae na dada akaolewa na huyo kaka na akazaa nae mtoto 1 na bahati nzuri yule kaka hakuwahi kuoa wala kuwa na mtoto ..yule dada...
Nijuavyo mimi deadline ya kuconfirm na kuwa considered kupata mkopo ilikuwa kwenye 1st round tarehe 10 October sina uhakika kama kuconfirm sasa hivi utapata mkopo
Ningekushauri uende chuo pendwa UD kuna faida nyingi kule i.e. MUCE
Mimi nimefanya nyingi lakini hii nafikiri inaweza kupata record ya Guinnes. Nikiwa kwenye sherehe ya graduation yangu ya degree na josho langu nimevaa nikiwa nimepiga vitu nikajisikia kujisaidia nikatoka Ile nafungua mlango wa toilet demu kanifuata nyuma nikaona ni fursa, nikamsukumia ndani ya...
Korea Kusini nilishawahi kwenda huko nina rafiki wakenya wapo huko kama upo serious unaweza kuni pm nikakupa connection in short ni kuzuri sana kama Seoul, Busan, nk
Naomba watu tufuatilie mijadala ya bunge hata Mh. Bashe aliishauri serikali kukopa haiwezi kuiginance development projects. Sasa leo imekopa ni dhambi gani?
Naomba tuwe na positive altitude jamani hasa kwa mambo ya kitaifa nchi yetu ni masikini haiwezi kujitosheleza ktk kutekelwza miradi ya...
Mimi pia ninayo ya kwangu na kawaida nikisimulia watu huwa wanalia lakini in short nilipitia kwenye tundu la sindano.
Mungu ni Mwema kila wakati
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ilikuwa proved na yule gwiji wa genetics kwani alifanya utafiti na kugundua kuwa ubongo wa mtu mweusi upo chini ya kiwango ukilinganisha na ubongo wa mtu mweupe wakati anapresent findings zake nasikia mkutano ulivunjika nikiipata nitairusha ila nakumbuka ilikuwa ufaransa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.