Recent content by Bornvilla

  1. Bornvilla

    Vichwa vya Habari Magazetini Leo Alhamisi 3/8/2017

    Vichwa vya habari vya Magazeti ya Tanzania ya Leo Alhamisi tarehe 3/8/2017
  2. Bornvilla

    Neymar: Barcelona yabariki harakati zake za kujiunga na PSG

    Mbrazil Neymar amepata ruhusa ya kujiunga na PSG.
  3. Bornvilla

    Tumuombee msanii maarufu kwa jina la Jini-Kabula

    Msanii jini kabula amepatikana na msanii mwenzake Esha Buheti ametoa maelezo
  4. Bornvilla

    Wadau Niungeni mkono kwa hili

    Shukran sana kaka kwa ushauri wako mzuri. Nitajitahidi kuufanyia kazi aisee japo mwanzo nimgumu sana
  5. Bornvilla

    Tetesi: Rolls Royce la Diamond liko njiani kutua Dar punde

    subscribe kwenye channel yangu kwa burudani michezo habari nk. Bonyeza link hii Kipingu TV
  6. Bornvilla

    Daz Baba: Mimi situmii madawa ya kulevya, wananisingizia

    subscribe kwa habari michezo na burudani ktk channel yangu YouTube Kipingu TV
  7. Bornvilla

    Wadau Niungeni mkono kwa hili

    karibuni ktk channel yangu ya YouTube ambayo ni Kipingu TV naombeni wadau msiache ku subscribe. Hapo utapata video mbalimbali za kisiasa,michezo nk napokea ushauri maana mi bado mwanafunzi ktk suala hili. Bonyeza link hii ikupeleke ktk channel yangu Kipingu TV
  8. Bornvilla

    Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Kwangu pia hazioneshi chochote
  9. Bornvilla

    Legacy ya Rais Ali Hassan Mwinyi (91 years) ni nini?

    Mzee Mwinyi alikataa kuitwa mtukufu rais maana mtukufu ni Mwenyezi Mungu pekee na badala yake litumike neno ndugu (Rais wa Tanzania ndugu Ally Hassan Mwinyi) Pia alisema nitakula mcicha na wananchi wangu! kwamaana na kupata shida na raha pamoja na wananchi wake. Mungu amjaalie maisha marefu...
  10. Bornvilla

    Tuelimishane kutengeneza pesa online: adsense, revenuehits, propellerads

    Hebu wataalam tupeni ushauri mzuri! channel ya YouTube yenye AdSense na content za Kiswahili ndio sababu ya kua na 0.38$? Nina miezi takriban3 lkn kitu hakiendi sawa na traffic kubwa inaonekana Tz? je nifanyeje iwe worldwide na niweze kupata zaidi? Jinsi gani ya kutarget viewers?
  11. Bornvilla

    Rais Magufuli amuomba Mfalme wa Morocco amjengee Msikiti mkubwa Dar na Uwanja mkubwa Dodoma

    mapovu ya nini? papa anapokuja Africa anakuja kuendeleza uislam etieeh! akili yako ni ndogo zaidi ya ile ya panzi
  12. Bornvilla

    TCRA wanaifahamu App ya MS Tanzania?

    nawewe ni muhusika au? maana naona unipigia hiyo app promo!
  13. Bornvilla

    Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Kweli kabisa@Karne.Nimejaribu kusaka sana lakn nimekosa Chanel mpya. Mwenye freq mpya atusaidie kwenye hiyo Satellite ya Eutelsat 7B East ilipo azam
  14. Bornvilla

    Msaada wa kuweka banner kwenye blogger

    ngoja tumsubiri chifu mkwawa! lakini njia nyingine tunaweza ku Google na kupata majibu
Back
Top Bottom