Reli ya tazara inauwezo wa kufika hadi Lubumbashi,hiyo laini ya kapiri hadi lubumbashi inafanana na hii yetu ya tazara(cape gauge).Tunachoshindwa ni maono tuu.
Kama tungefunga umeme njia nzima,gharama ya uendeshaji ingeshuka na hao wateja wazambia na wakongo wangeongezeka kutumia reli yetu...
Matrekta yapo mengi tu hapa Africa kusini.
Unachohitaji Fanya ni kuamua uje mwenyewe ununue na uondoke nalo au uagize ambapo muuzaji atalipwa ukipokea mzigo wako. Bei za matrekta zinaendana na ubora wa trekta.
Tatizo letu kubwa ni mtazamo wetu wa kimaisha ( mindset).
Tusidanganyane kuhusu IQ na vitu Kama hivo.Shida yetu ni hii tu ya jinsi tunavoyaangalia maisha.Sisi waafrika wengi tunaamini katika kuajiriwa.Tunasoma na kusomesha watoto ili waajiriwe.Wengi wetu Hatuamini katika biashara.Tunahisi...
Hakuna madhara ya uraia pacha Kama sheria zikiwekwa ambazo zitadhibiti watu wenye uraia pacha wasiingie katika vitengo muhimu vya nchi Kama urais,waziri mkuu,waziri wa ulinzi,waziri mambo ya ndani,jeshi,usalama was taifa nk.
Tunarudi katika miaka ya ujamaa.Tunaweza anzisha viwanda kwa mifuko ya umma lakini nani ajuaye rais atayekuja baada ya Magufuli atakuaje? Je akiwa mpenda rushwa? Na je akiwa mzembe na viwanda vikafa? Au tunajuaje serikali ijayo itaamua nini? Isije ikawa tunajenga halafu raisi ajaye akaamua...
Ok the author is wrong anyway.
The biggest mall in SA is fourways mall in Jo'burg which is recently extended. Fourways mall is the biggest mall in Africa. That followed by menly park in Pretoria.South Africa has 2,027 malls in total by the end of 2018.
Kweli pengine vipato vya raia vimepungua,au ushindani wa soko uko juu.
Lakini,hivi lazima wauze bidhaa zao TZ tuu? Kwanini wasitafute soko nje? Mbona nchi nyingine zinaleta bidhaa Tz,sasa wao wanakwama wapi kuuza nje pia?Hao wafanyakazi wa kiwanda kwanini wasiishauri management ya kiwanda kuhusu...
Suluhisho ni kubomoa baadhi ya nyumba ili barabara na mifumo mingine Kama ya maji taka na maji safi ipite bila usumbufu.Hizo aina za vyoo visivojaa haviwezi tatua tatizo. Unafikiri hao wazungu walivoamua jenga miji kimpangilio walifanya hivyo kwasababu ya vyoo tuu?
Fikiria kuhusu ajali za moto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.