Recent content by Boom J8

  1. Boom J8

    JamiiForums Tanzania Jux amlilia Vanessa Mdee

    Mambo ya kurudiana ni kupoteza muda...Ingekuwa imepangwa msingeachana mwanzo... Ko songa mbele.... Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Boom J8

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la bodi ya ligi,2017-18 ni anguko kubwa kwa Yanga SC

    Kwanza ni maajabu ya Afrika tu ambapo wadhamini wa ligi wanagawa na vifaa vya michezo.... Ulaya club zina mikataba na makampuni binagsi tu... Mfano Chelsea vifaa vya michezo inapewa na nike... Mpira wa kuchezewa ligi kuu unadhaminiwa na nike... Barclays wao wanadhamini masuala mazima ya zawadi...
  3. Boom J8

    JamiiForums Tanzania Kuzuia msafara wa Rais ni uhaini!

    Rais anapenda kiki huyu... Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Boom J8

    JamiiForums Tanzania Hoja Fupi: Ilikuwa ni Makosa kwa Vyombo vya Habari Kumsusia RC Dar

    Umezunguka mbuyu weee.... Kwani hawamwandiki kisa Hawampendi?.. Hamuandiki sababu aliwavamia tena kwa silaha... Wakaomba msamaha kutoka kwake akakataa.... Unataka nini?... Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Boom J8

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Bado mapema sana kuhukumu.... Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Boom J8

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe atinga hadi maskani kwa nahodha wa Serengeti Boys na kushangazwa

    TFF wakuda....
  7. Boom J8

    JamiiForums Tanzania Tutende haki: Wanaobainika kuzaa au kutembea nje ya ndoa nao wafukuzwe kazi serikalini

    Mbona unataka kuleta hali ya hewa ya uarabuni hapa.... Mtu akichepuka hayo masuala ya kifamilia... Na kazi haviingiliani kabisaa.... Ko TULIA...
  8. Boom J8

    JamiiForums Tanzania Kwanini ibada kila imani zinahusisha sana viumbe kuliko Muumba?

    Unajua kuna utofauti kati ya mapambo ya sanamu/vitu na kuabudu vitu.... Kama ndugu mto uzi wewe ni muumini wa dini za kikristo na umeisoma biblia vizuri haswa agano la kale.... Kuna wakati wana wa israel waliambiwa wajenge hekalu nadhani ni katika kitabu cha wafalme ambacho kinaelezea mambo ya...
  9. Boom J8

    JamiiForums Tanzania VEVO wamemtimua diamond hauzi

    Vevo wamemkataa kisa hawezi kuimba kwa kingereza.... [emoji23][emoji23][emoji23]....UNATANIA SI NDIO MLETA UZI?...
  10. Boom J8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania This Kenyan street kid anaongea Kiingereza kizuri kuliko Magu na watanzania wote

    Kama kuna wapumbavu duniani basi wakenya mnaongoza.... Kama mnakipenda sana kingereza mbona wimbo wenu wa taifa ni wa kiswahili.... Halafu kingine....kwanini watz tuhanhaike na kingereza wakati tuna lugha yetu ya taifa?... Nyie mnatapatapa na kingereza sababu hamna lugha rasmi ya kuongea...
  11. Boom J8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The vast majority of Tanzanians cannot speak their mother tongues

    Wazungu walipokuja afrika...Walileta dini... Ambayo walilazimisha watt wabatizwe na kupewa jina la kwanza la kizungu na huo mfumo upo hadi leo na utazidi kuendelea...
  12. Boom J8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The vast majority of Tanzanians cannot speak their mother tongues

    Kwani nani aliyemtawala mwenzie?... Mbona hujasema kwanini wabrazil wana majina ya kireno?.... Au wamarekani wana majina ya kiingereza?...
  13. Boom J8

    JamiiForums Tanzania Jibu swali kibashite bashite hapa. Ukiulizwa kushoto wewe jibu kulia!!

    Mheshimiwa uliahidi elimu bure au elimu bila malipo?....
  14. Boom J8

    JamiiForums Tanzania Jibu swali kibashite bashite hapa. Ukiulizwa kushoto wewe jibu kulia!!

    Swali: Mheshimiwa kwani wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya huwa wanateuliwa kwa kutumia vigezo vipi.. Jibu: Mimi huwa sipangiwi... Na tena ukijaribu kunilazimisha ndo umeharibu kabisaa....
  15. Boom J8

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kalipendea nini hili jitu?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119].....
Back
Top Bottom