Recent content by bonye

  1. bonye

    Magufuli, Lowassa, Rostam, Apson: Pengine ni Mikutano tu, pengine ni zaidi ya mikutano

    Kweli mimeamini hakuna urafiki kati ya maskin na tajiri. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. bonye

    Live Clouds 360: January asema uongozi ni kujinyenyekeza siyo ukali na kutetemeshana

    Sawa, ila hata walitoka nje ishu ni kutomtqmbua Shein, na si kutomtambua JK. Tuhuma nying za wapinzani kwa JK ni tofauti kabisa na tuhuma ya kutomtambua kama raisi. Tena walikataa kumtambua Shein bungen kama raisi wa Zanzibar. Sijui upo hapo. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. bonye

    Live Clouds 360: January asema uongozi ni kujinyenyekeza siyo ukali na kutetemeshana

    Weka kumbukumbu vizuri, wapinzani hawakumpinga JK bungeni, ila ni Shein. So wapinzani walikataa kumwambia Shein bungeni na sio JK. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. bonye

    Leo Lissu anafanyiwa upasuaji wa mwisho kabla ya kurejea nyumbani, Tumuombee..

    Get well Mr. Lisu. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. bonye

    Live Clouds 360: January asema uongozi ni kujinyenyekeza siyo ukali na kutetemeshana

    Jikon wanasema hawakutia chumvi kwenye mboga, mlaji anasema chumvi ilizidi kwenye mboga. Duh......! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. bonye

    Mkuu wa Mkoa Bora na Mkuu wa Mkoa bomu

    Nakuunga mkono. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. bonye

    Rais Magufuli na kikokotoo: Bingwa wa kutengeneza matukio na kujitokeza baadaye kama mkombozi

    Mwl anajitekenya mwenyew na anacheka mwenyewe. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. bonye

    Rais wa Tanzania wa awamu ya tano na falsafa ya uongozi wa mguso kwa wananchi

    Mara nyingi katika hotuba za jiwe, na wasaidizi wake wanasema kuwaminya mafisadi wa nchi hii, sambamba na hilo, nilisikia kuna mahakama ya mafisadi. Hivi mbona hawapelekwi huko tukawaona hao wanaobinywa na kufanya kodi sasa kuongezeka. Ila nasikia tu mafisadi kwenye majukwaa.
  9. bonye

    Vitalis Maembe: Makonda shika adabu yako, Chuo cha Sanaa Bagamoyo si sawa na wasafi wa nguo

    Vital Maembe yupo sahihi sana hasa ukilinganisha na alichokisema Mkuu wetu wa mkoa. Hiv ni sahihi kulinganisha taasisi kubwa dunian kama TASUBA, na kundi la wanamuziki la wasafi? Kufananisha walimu wa TASUBA, na waimbaji wa wasafi? Mimi ninaufahamu mkubwa sana wa taasisi hii, toka ilivyokuwa...
  10. bonye

    Upandishwaji madaraja kwa watumishi wa umma

    Ndo basi tena kwenye hilo.
  11. bonye

    Tanzania: Accacia Mining involved in Serious Corruption Scandal in Mara Region

    This is terrible. For this case, few people were benefited from this company, than the majority ( villagers).
  12. bonye

    Wakali wa kuongoza darasani sasa hivi wana hali gani kimaisha??

    Umenikumbusha kuna siku nimringia bar kupata angalau bia moja mbili tatu, na buku kumi yangu, ghafla nikaiutana na jamaa ambaye Mimi nilimsahau kiukweli. Jamaa alikuwa ananiangalia sana huku aliongea jambo kwa wale waliokaa nao, hofu ikanitanda. Ila baada ya dakika kadhaa, yule jamaa akaniita...
  13. bonye

    I wish Freeman Mbowe a very happy birthday indeed

    Kwan umesahau tulivyomegwa wote.
  14. bonye

    Ni muda muafaka kwa Maalim Seif kuhamia CHADEMA

    Tunamsubiri kwa hamu
Back
Top Bottom