Root number ni 1,2,3,4,5,6,7,8,9
Master number ni 11, 22 na wakati mwingine 33
Mfano
*root number
Unapo jumlisha namba za herufi na kupata 23 hiyo haiwezi kubaki kama ilivyo cha kufanya ni
23=2+3=5
*Master number
Lakini ukijumlisha namba za herufi na kupata 11, 22, 33 hizo zitabaki kama zilivyo...