Namba 40 ina siri gani?

Namba 40 ina siri gani?

Jumapili ya Bwana.

Naomba tujuzane
Yesu alifunga siku 40.
Elia alifunga siku 40.
Siku za mwizi ni 40.
Waisraeli walitembea miaka 40.
40 ya marehemu?

Hii namba 40 ina nini??
Wajuvi wa mambo mtujuze
Bila kusahau life begins at 40
 
Kwa watu wa kawaida hiyo ni 40, lakini kwa wenye elimu ya namba hiyo ni 4.

40=4+0=4
4000=4+0+0+0=4

4 ina maana ya jiwe la msingi, maandalizi kabla ya kwenda hatua inayofata.

Hivyo 4 ni ujenzi wa misingi mipya, ndio maana unaona baada ya hizo 40 kunakuwa na uelekeo mpya.
Umerejea wapi kiongozi, i mean source, hii elimu ya namba inafundishwa wapi na kwa level gani?
 
Umerejea wapi kiongozi, i mean source, hii elimu ya namba inafundishwa wapi na kwa level gani?
Ndugu haya elimu ya namba (numerology) mimi uwa najifunza mwenyewe tu kupitia vitabu na machapisho ya kwenye mitandao.
 
Kugombea urais Tz umri kuanzia 40 kwenda juu
 
Life begins at 40
Eda ya mwanamke wa kiislam Ni 40 days.
 
Back
Top Bottom