Namba 40 ina siri gani?

Teh mkuu hii ni asubuhi, usichukulie serious baadhi ya mambo, hawa viumbe ndivyo walivyo tunaenda nao kwa kiasi cha akili zao
Yaani ingekuwa live wanapewa ulingo sparing zichangamshe jukwaa… sio matusi nyuma ya keyboard, uwoga wa hali ya 10G
 
Jumapili ya Bwana.

Naomba tujuzane
Yesu alifunga siku 40.
Elia alifunga siku 40.
Siku za mwizi ni 40.
Waisraeli walitembea miaka 40.
40 ya marehemu?

Hii namba 40 ina nini??
Wajuvi wa mambo mtujuze
Hiyo ya siku za mwizi ni 40 ..Ni msemo tuu ila in reality hauna maana kwamba ...ili mwizi akamwatwe inabidi aibe mara 40
 
Na ile ya mtoto kutolewa nje kwa mara ya kwanza (kunyolewa nywele) baada ya kuzaliwa hivi si huwa siku 40 ee, au nimekosea wakubwa?
 
Kwa watu wa kawaida hiyo ni 40, lakini kwa wenye elimu ya namba hiyo ni 4.

40=4+0=4
4000=4+0+0+0=4

4 ina maana ya jiwe la msingi, maandalizi kabla ya kwenda hatua inayofata.

Hivyo 4 ni ujenzi wa misingi mipya, ndio maana unaona baada ya hizo 40 kunakuwa na uelekeo mpya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom