Recent content by bonnykessy

  1. bonnykessy

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa Kilimanjaro

    Kia stand ya ndege(uwanja wa ndege/Kilimanjaro international airort) iko wilaya ya hai,kia stand ya magari iko wilaya ya siha, pia mfahamu moshi ni wilaya kama wilaya nyingine hivyo ni kajisehemu tu cha mkoa wa kilimanjaro hivyo siyo kila aliyeko kilimanjaro yuko moshi.
  2. bonnykessy

    JamiiForums Tanzania BETTING: Fursa sahihi kwa watu makini

    Sahihi
  3. bonnykessy

    JamiiForums Tanzania Ananishawishi sana kuingia kwenye QNET mpaka anakera!

    Halo! Mimi pia nimeshabananishwa sana na binti niliyesoma nae advanced! Yaani ulichokieleza ni copy and paste, nilivyokuwa nasoma huu uzi nilijihisi umeniandikia au wewe ndiyo mimi.,kiufupi mpotezee usiwe na akili za mbayumbayu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. bonnykessy

    JamiiForums Tanzania Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

    Acha utapeli, waambie watanzania ukweli,..s.h.w.a.i.n eti nimeingiza sh ngapi??!!mipichapicha yako hainitishi hapa, watumie familia yako,mimi inaninufaishaje?, kha! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. bonnykessy

    JamiiForums Tanzania Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

    Fanya kazi halali, acha janjajanja! Unalaghai watu hapa, nyie ni mijambazi hatari sana zaidi ya wanaotumia silaha za moto. Mnabore nyie!!! yaani mnabore, tena mkome na mlegee,ACHA UWIZI!, ningekuwa na uwezo ningekutandika makofi humu. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. bonnykessy

    JamiiForums Tanzania Kwa anaejua kuhusu hizi mambo za BIASHARA YA MTANDAONI anieleweshe

    .hahahahaaa qnet Sent using Jamii Forums mobile app
  7. bonnykessy

    JamiiForums Tanzania Mwenye CV ya Rose Sandi, afisaelimu msingi Halmashauri ya Wilaya ya Siha

    Hiyu mama wa watu unamchafua bure tu jamani, mbona hana shida na mtu,ni mstaarabu sana tu na msikivu sana kwa ninavyomfahamu, .Mtoa uzi wewe una chuki binafsi.
  8. bonnykessy

    JamiiForums Tanzania Mwenye CV ya Rose Sandi, afisaelimu msingi Halmashauri ya Wilaya ya Siha

    Mhh mkuu ni bora uende kwenye ngazi husika watakupatia kwa utaratibu wanaoujua wao, lasivyo itakuwa ni umbea huu.
  9. bonnykessy

    JamiiForums Tanzania Kwanini wengi wanaopatana na wazazi na ndugu hudumaa kimaisha, wakati wanaowatupilia mbali ndugu huneemeka?

    Research yako fake umeifanyia nchi gani? Acha ushirikina.
  10. bonnykessy

    JamiiForums Tanzania Confession: Kiukweli mawachukia walimu

    ..mtoa mada usikute uneshapewa suspension ndiyo unaitumikia sasa ndiyo maana unawachukia walimu, hakika wewe ni mwanafunzi tena form II hivyo usituchore,haiwezekeni kwa post yako kweli kama umehitimu na kufaulu alafu ukayaandika haya kwa waliokutoa upumbavu na ujinga!!!
  11. bonnykessy

    JamiiForums Tanzania Ubuyu wa Diamond, Ruge na Kusaga

    Duh
  12. bonnykessy

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Photocopier cannor Ir 2018

    Asante kwa taarifa
  13. bonnykessy

    JamiiForums Tanzania Mama ni dhahabu ukimkosa utapata shida; ahimidiwe mfariji wetu Mungu wa mbinguni

    Machungu ya mama tusikumbushane
Back
Top Bottom