Recent content by Bonge

  1. B

    INAUZWA Karibu ofisini kwetu ujipatie Makonteina bora na ya kisasa

    Grade D ina mapungufu gani? Naweza ifanya kuwa store imara?
  2. B

    Maeneo yaliyokatwa umeme, Dsm hii tuiiteje?

    Kunduchi, mbezi beach, tegeta ...kote wamekata
  3. B

    Ushauri: Nahitaji kuchukua mkopo wa milioni 30 kwajili ya biashara ya mahindi

    NIna swali ....milioni 30 mkopo...kwa wastani unatakiwa kurudisha shs ngapi kwa kila mwezi
  4. B

    External Hard Disk imekuwa Corrupted 1TB

    Tegeta Nyuki sehemu gani? Ndani ya stendi au maduk ya pale nje? Nina hard disk imenigomea
  5. B

    Bus za Sauli miamba ya Nyanda za Juu Kusini

    Nauli kwenda mbeya ni shs ngapi?
  6. B

    Je, ni kweli Mahindi yameshuka bei?

    Nimeuza jana 120,000 kwa gunia wilaya ya hai
  7. B

    Car4Sale Pitia Uzi huu upate gari ya kipato chako

    Unayo Toyota wish?
  8. B

    Huyu Mkuu wa Mkoa wa Tanga sidhani kama kuna kiongozi pale; labda cheo alipewa Kwa connection

    Nachojua kikosi cha uokoaji ndio kinachotakiwa haraka eneo la ajali...sio DMO
  9. B

    Msigwa: Hakuna ndege inayobeba wanyama, mwenye ushahidi alete

    Dubai wanatengeneza Safari park lengo lao wakamate watalii wote ....ukienda Dubai iwe one stop centre ya aina zote za utalii.....wakifanikisha hili mtalii gani atakuja kumwona Simba Tanzania wakati akienda Dubai kuna safari park!
  10. B

    Uzi maalumu wa kujua gharama za ujenzi wa majengo mbalimbali

    Chukua sqm za nyumba yako yote zidisha kwa 500,000 utapata makisio ya kumaliza kila kitu mpaka kuhamia. Ukikomaa mwenyewe unaenda nunua vitu na kusimamia hasa itapungua. 500,000 ni makisio ya chini maana sasa hivi vifaa vya ujenzi vimepanda bei sana inaenda mpaka 600000 - 800000 kwa sqm...
Back
Top Bottom