Recent content by bondokids

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kinana, Nape mmekubali kushindwa Arusha Mjini

    wanajua ata wakifanya kampeni arusha ccm hakuna wanajisumbu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Bodaboda na mama ntilie Mwanza wajitoa kuiunga mkono UKAWA

    asikudanganye mtu mimi naishi mwanza na boda boda na mama ntilie lowassa ndo mpango ,alafu star tv tushaishtukiaga hatunaga mpango nayo hapa ni ITV na AZAM TV kwa habari za kweli na uhakika
  3. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya siku 14 zijazo, UKAWA itakufa rasmi na kubaki kuwa historia

    kwa sasa hatudanganyiki hata wasomi hatuwaamini maana wanafanya vitu kwa manufaa ya vyama cha msingi kama mtanzania ni kufanya maamuzi unayoona wewe ni sahihi siku hiyo ,haswa vyama ambavyo vina uchumi mzuri vinapenda maigizo sana
  4. B

    JamiiForums Tanzania Vijana wazalendoCHADEMA wamkataa Lowassa

    kwa sasa ata angesimama mbowe akasema lowassa hafai mabadiliko yako pale pale endeleeni kufanya maigizo mkidhani mtatuyumbisha
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hivi huu mdahalo ulio Star TV ni kampeni au kuhamasisha amani?

    wanamabadiliko walipofikia hata akojitoa mbowe wao hawayumbi wako pale pale
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mke wangu amenishinda, anaelekea kuvunja ndoa yetu

    umenipa funzo mkuu, pole sana kwa majanga
  7. B

    JamiiForums Tanzania Joshua Nassari apata ajali ya chopa

    pole sana nassari kwa matatizo
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara gani ya kuwa na mahusiano ya mapenzi na mtu ofisi moja?

    wivu ata akiongeleshwa na bosi wako,pili ni aibu pale umekosa alafu unagombezwa mbele ya mpenzi wako,na siku mkigombana hata kazini hamtasaidiana kazi vizuri kama kazi zenu zinahusiana
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    how about bank industry in Tanzania
  10. B

    JamiiForums Tanzania Njoo upige kura hapa umjue rais wa awamu ya 5 kabisa

    dr.slaa
Back
Top Bottom