Kama Magufuli ni mwadilifu basi Lowasa ni malaikaUnakurupuka kijana
Awepo asiwepo za uso zipo pale pale kwa haya mamburula ya Lumumba na Masaki akiwepo MOD wa JFKuna mods humu ndani ya JF ni wa IT MASAKI....hii si bure
Awepo asiwepo za uso zipo pale pale kwa haya mamburula ya Lumumba na Masaki akiwepo MOD wa JF
Vijana hawa ambao wamesambaa kila kona ya Tanzania wanadai Ikulu si mahala pa kukimbilia hata kama huna sifa.Vijana hao wanasema watabakia kuwa CHADEMA lakini kitokana na kipengele cha Uadilifu kutozingatiwa ndani ya chama chao, wao watamchagua kiongozi mwadilifu ambaye ni Dr. Magufuli.
Wewe ndio umekwisha huna tofauti na wale wa Kinondoni makaburiniLowassa Kwisha habari yake.
Lowassa Kwisha habari yake.
Lowasa alikufanya nini?Huna ajenda zaidi ya Lowasa?.....alikataa kukulipia mahari nini!
Hapa kazi tu.
Vijana hawa ambao wamesambaa kila kona ya Tanzania wanadai Ikulu si mahala pa kukimbilia hata kama huna sifa.Vijana hao wanasema watabakia kuwa CHADEMA lakini kitokana na kipengele cha Uadilifu kutozingatiwa ndani ya chama chao, wao watamchagua kiongozi mwadilifu ambaye ni Dr. Magufuli.
Hapa kazi tu.
Vijana hawa ambao wamesambaa kila kona ya Tanzania wanadai Ikulu si mahala pa kukimbilia hata kama huna sifa.Vijana hao wanasema watabakia kuwa CHADEMA lakini kitokana na kipengele cha Uadilifu kutozingatiwa ndani ya chama chao, wao watamchagua kiongozi mwadilifu ambaye ni Dr. Magufuli.
Balozi Mwapachu anakusabahi!