riba 8% na mshahara wako utakatwa 8% mpake deni liishe lote vyuo vya serikali unaweza ukadaiwa kama 14mill kwa kozi za miaka 3 eng/science kwa wengi------ tmia vizuri boom utajutaaa.source heslb.
Hawa jamaa kuna watu wamewanyima mkopo kwa sababu za kitoto kabisa eti
1.kozi siyo priority wakati kuna wanafunzi wamepata mikopo bila kujali kozi za kipaumbele,
2.vilevile wamesema Tcu walikosea kuweka baadhi ya kozi ni ya kipaumbele wakati siyo ya kipaumbele
3.Budget ilifika mwisho jaribuni...
Jamaa nimewakubali,wametumia muda mchache kupanga majina na mikopo kwa wanaokizi vigezo ukilinganisha na heslb,Vile vile kumbe kuna kariba kadogo tu,kwa mliokosa heslb changamkeni muda bado.:lol:
Imetuumiza sana,Ukizingatia mimi nipo priority course na nina sifa lakini hawajanipa.Nimekata tamaa yani siwezi kwenda chuo,Nipo mbinga sina matumaini ya chuo maana hata nauli kuripoti udom ni issue.Hii ndio serikali yetu bana,Wanasema eti bajeti imefika mwisho na wenye sifa wengine wamekosa...
tumeingia hizo ghrama zote,Buree.Heslb kuna wizi hivi pesa tulizotumia ktk application wanafunzi wote imefikia shs ngapi na imetumika kufanyia nini?Kama serikali inatoa pesa zote za kukopesha wanafunzi na uendeshaji wa heslb mamilioni tuliyochanga ya form yapo wapi Watueleze.
Bodi ya mikopo iweke orodha ya NO LOAN applicant ili watu wajipange Ku appeal,haiwezekani mtu uwe na vigezo vya kupata mkopo na usikopeshwe ukizingatia bajeti imeongezwa na idadi ya walioomba ni wachache ukilinganisha na mwaka jana,Wameshaonekana ni wasanii hawa bodi ya mikopo.Mimi lazima nita...
Wakuu naomba nipate msaada wa kisheria inapotokea mtu kakaosa chuo wakati anasoifa na hapewi mkopo wakati anavigezo vyote vya kupata mkopo?Wakati nimetumia gharama nyingi kufanya maombi hayo na kupoteza muda mwingi sana.Niliomba chuo kupitia Tcu,wengine sifa zinafanana wamepata.Nisaidieni jamani.
Hakuna jina hata moja lililoonekana kwenye list ya waliopata mkopo.hivi hawa jamaa mbona wana wanyanyapaa sana equivalent student?Au hawa waliotajwa majina yao wao walilipa zaidi ktk application?Tutaishtaki serikali kwa kutunyanyapaa.Mimi binafsi nashangaa sana kwa nini.Nisaidieni kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.