Msaada wa kisheria kwa kutoridhishwa na udahili wa wanafunzi na bodi ya mikopo-elimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kisheria kwa kutoridhishwa na udahili wa wanafunzi na bodi ya mikopo-elimu

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by BONANJE, Sep 20, 2012.

 1. B

  BONANJE Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu naomba nipate msaada wa kisheria inapotokea mtu kakaosa chuo wakati anasoifa na hapewi mkopo wakati anavigezo vyote vya kupata mkopo?Wakati nimetumia gharama nyingi kufanya maombi hayo na kupoteza muda mwingi sana.Niliomba chuo kupitia Tcu,wengine sifa zinafanana wamepata.Nisaidieni jamani.
   
Loading...