No loan applicant | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

No loan applicant

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by BONANJE, Sep 26, 2012.

 1. B

  BONANJE Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bodi ya mikopo iweke orodha ya NO LOAN applicant ili watu wajipange Ku appeal,haiwezekani mtu uwe na vigezo vya kupata mkopo na usikopeshwe ukizingatia bajeti imeongezwa na idadi ya walioomba ni wachache ukilinganisha na mwaka jana,Wameshaonekana ni wasanii hawa bodi ya mikopo.Mimi lazima nita appeal na kwa wakati huohuo naomba HLSSF(WEZESHA WANAFUNZI YA CHADEMA) Nikipata siombi tena HESLB Maana SI YA WATOTO WA WAKULIMA.Wanajineemesha wao yani kukopeshwa tu inakuwa kero vp kama ingekuwa inatoa hizo pesa bure ingekuwaje?
  Serikali hii vp mtu anasifa za kupata mkopo na yupo priority course lakini anakosa kukopeshwa........,Kwanza watu wenye sifa 4000 kukosa mkopo ni kisi gani?? Serikali haina uwezo huo kweli????Haifiki hata milioni 200 kwa mwaka.Hii ni kali sana Ngoja HLSSF-Ifunike heslb Serikali itaanza kuona ipo kisiasa.......
   
 2. Makbel

  Makbel JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 774
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Bodi ya mikopo wamezidi usanii kwa nini wasiweke na hao wenye No Loan hili mtu ujue kama ua Pearl au ughairishe mwaka. sasa jina halionekani kokote huku mtu hujui kama fomu yako ilifika au vipi. Pia hata hizo 0% nazo watoe.
   
 3. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Poa mwana, una hasira sana na jaziba. Weka modalities/strategies za ku-appeal kuliko kufoka.
   
 4. B

  BONANJE Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huwezi anza chochote kama hujajua kama wewe ni no loan au form yako haikufika?Lazima ujue umepata mkopo au huja pata documented hapo ndipo unaaza.
   
 5. N

  NEEMA MWAIPUNGU Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ebu tutoa ne ujinga kwakweli kwahyo kuna majina ya watakao pata 0% na kuna majina ya fomu amabazo hazkufka na kuna majina ya no loan au! ila mm nlivyoenda heslb jana walisema wanada majina na kuyaweka tayari wa2 tutayaona ili kuappel kuanze trh 1 oct ndo waliyoandka kwenye bodi kule tangazo hilo
   
 6. N

  NEEMA MWAIPUNGU Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi unawaamini asilimia 100% hlssf kaka ??????
   
 7. B

  BONANJE Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hao nawaamini sana yani Maana kaka yangu ni mwajiriwa pale,HLSSF.
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  mkuu ebu tutoe wasiwasi kama hawa watu wanaexist au vipi,maana watu wanashindwa kuamua kawa waaply au laa kwa sababu hawawaamin amini hao hlssf,sasa kama kaka yako ni mwajiriwa wa hapo,ebu tuzibitishie hapa jf uwepo wa hyo Hlssf.
   
 9. p_prezdaa

  p_prezdaa JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Hapa kwa hlssf kuna kulia na kucheka maana hawa jamaa mbona hakuna tamko lolote kutoka serikalini kama wanatambulika kwa watoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu wenza na heslb???
   
 10. p_prezdaa

  p_prezdaa JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  ndugu hawa hlssf ni sawa na kutupa jiwe jizan ukisikia kimya hujue hakuna liliyempata na ukisikia yalaa ujue kuna liliyempata.


   
 11. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Acha kuaminisha watu hii HLSSF ni ya chadema isijetokea ya deci waanze kuonekana matapeli bure,kama una uhakika na unenalo lisimamie kama siyo futa kauli yako,au waje viongozi wa cdm watoe ufafanuzi kuhusu hii bodi mpya
   
 12. r

  robert komba Member

  #12
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yap ni ujinga kukaa kimya until now wakat mda unaenda...na wakumbuke sisi pia tulitumia gharama kuchukua hzo form,kukutana na mawakili kutuma kwa EMs...
   
 13. B

  BONANJE Member

  #13
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tumeingia hizo ghrama zote,Buree.Heslb kuna wizi hivi pesa tulizotumia ktk application wanafunzi wote imefikia shs ngapi na imetumika kufanyia nini?Kama serikali inatoa pesa zote za kukopesha wanafunzi na uendeshaji wa heslb mamilioni tuliyochanga ya form yapo wapi Watueleze.
   
Loading...