Equivalevt student-Heslb 2012/2013

BONANJE

Member
Jul 13, 2012
34
3
Hakuna jina hata moja lililoonekana kwenye list ya waliopata mkopo.hivi hawa jamaa mbona wana wanyanyapaa sana equivalent student?Au hawa waliotajwa majina yao wao walilipa zaidi ktk application?Tutaishtaki serikali kwa kutunyanyapaa.Mimi binafsi nashangaa sana kwa nini.Nisaidieni kwa anayefahamu zaidi.
 
Equivalent waliochaguliwa education science na education mathematics tu ndio wamepata mikopo. Na hii ni kwa mujibu wa GUIDELINES AND CRITERIA FOR ISSUANCE OF STUDENTS' LOANS 2012/13. "All other applicants admitted into programmes other than education science and education mathematics on the bases of indirect or equivalent entry may not be eligible for loans".
 
Back
Top Bottom