Kauli yako ndo inatakiwa iitwe nonsense, waganda hawajaleta bomba Tz kwa sababu wanatupenda sana ni walifanya cost-benefit analysis wakaona wapitishe Tz kwa sababu ni karibu kuliko mombasa na ujenz rahis ni tambarare na pia usalama uku kwetu ni mzur kuliko njia ya kenya, hizo sababu zingekuw...
sio nafasi za kazi tu hata tenda mbali mbali hawa watu tunasikia mwezi wa 6 wanatakiwa waingie site lakin mpaka sasa hatujui hata ofisi zao ziko wapi ktk mobilisation ukiacha kuajiri watu na kuanza kuwapa training kuna suala la kutengeneza supplier list etc hatusikii tangazo kwa media yoyote...
simple facts, South africa kama wazungu wangeondoka mapema kama walivoondoka uku kwetu na wale wangekua kama sisi tu mfano hai ni zimbabwe na nchi zingine za afrika!!!
angalia hata america na europe black wana complain tu kila cku kuhusu white supremacy na wao kua nyuma mbona people of asian...
Kama kuna muda ambao watanzania wanatakiwa waungane kupata katiba bora ni sasa katiba inaihitajika kua makin ni kipindi hiki kuliko vipindi vyote toka nchi hii imepata uhuru maana presha ya kutumia bad laws na kuzitunga zingine imekua kubwa sana nyingi ya hizi bad laws zilikuwepo lakin hazikuwai...
nimelipia toka jana iyo elf 20 na msg kutoka tigo pesa imekuja ila mpaka sasa iyo msg ya kwenye system sijapata na ukipiga tigopesa wanasema wao kazi yao ishakamilika muamala hauko kwao sasa sijui nafuatilia wapi kutokea apo au ndo nmb au uhamiaji au niendelee kuwait tu...... na hamna namba ya...
poroshenko is western puppet installed to poke at putin by obama administration but now that putin is friend to trump this idiot poroshenko has been left with no straw to craw himself to safety it s a matter of time before he get his ass kicked he turned ukraine into failed state
Anybody with a proper link to download cracked version ya hii game without rooting my phone, nimepata link kadhaa ila imagine una download more than 1 GB alafu mzigo haufunguki au unakua famba!
au mwenye patch yoyote ya kupata unlimited coins and souls.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.