Hawa jamaa ni kina nani haswa?

Hawa jamaa ni kina nani haswa?

There are no aliens. Just demons. Flying saucers and other UFOs are manufactured by human technology.

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."

Acha ushabiki
....
 
Jaribuni kucheck hapa hawa jamaa

Sent using Infinix hot 4

Kiongozi! Usipate tabu. Najua wengi watashangaa hili lakini ndiyo ukweli wenyewe.

Nazi chini ya Adolf Hitler walikuwa na kikundi cha siri kilichoitwa "The Vril" na jina hili asili yake imetokana na jamii ya kale ya Sumeri(Sumerian) ikimaanisha "godlike". Mkuu wa hiki kikundi walikuwa ni mwanamke kwa jina ni Maria Orsic. Huyu mwanamke alikuwa na uwezo wa ajabu, alikuwa ana communicate with extraterrestrials na hayo maelekezo aliyokuwa akiyapata ndiyo teknolojia ya hali ya juu ambayo Nazi walikuwa nayo. Hayo maelekezo alikuwa anayatamka kwa lugha mbili(alikuwa hana tofauti na waganga wa kienyeji wakipandisha mizimwi). Lugha ya kwanza hata yeye mwenyewe alikuwa haielewi ni lugha gani. Lugha ya pili ni lugha ambayo inavinasaba na kijerumani cha kale ilikuwa inatumiwa na jamii ya " THULE". Jamii ya THULE ilikuwa ni jamii inayotumia uchawi.

Hizo lugha akizitamka wajumbe wengine walikuwa wanaandika hayo maelekezo na baada ya Maria Orsic kumaliza kuongea asichokielewa wanaanza kutafsiri yale maelekezo na hayo maelekezo ndiyo yamefanya Nazi kuwa na teknolojia ya hali ya juu. Miongoni mwa mwanasayansi wa Hitler ambaye alichukuliwa na Wamerikani baada ya Ujerumani kushindwa vita alikiri hili waziwazi kabisa. Hata kutengeneza flying saucer ni maelekezo kutoka kwa hawa viumbe. Huyu mwanasayansi anaitwa Hermann Oberth Von Brawn.

Kuna vitu hapa inabidi viangaliwe. Kwa nini "THE VRIL" asili ya jina lao ni la Sumeri? Ukisoma history Sumeri ni moja ya tawala kongwe hapo mashariki ya kati, ni tawala ambayo iliyopiga hatua kubwa kwa nyakati yake na baada ya tawala yao kuanguka Babylon ikanyanyuka na ikachukua mila, tamaduni na ustaarabu kama wa Sumeri, na vyanzo vinasema asili ya uchawi ni Babylon ambao tamaduni za Sumeri.

Kwa kifupi Wazungu wanatumia majini(mizimwi) katika mambo yao. Ili kuficha haya mambo ndiyo wanaongopa wanasema ni Aliens. Hamna aliens wanaofika kwenye mfumo wa sayari yetu. Isipokuwa wana communicate na majini na majini wapo wa aina mbalimbali, wapo weupe, wa bluu, wekundu, wakijani na wanapaa vilevile.
 
Asante sana mkuu

Ndiyo nachokijua hiki!
 
sio hawajilabda walikua wanakuja tatizo ni documentation tu uku kwetu
Ni kweli maana kuna jamii za Waarabu upande wa morocco zinadai kuwa walishawahi kuwaona hawa jamaa wakiwa wawili warefu sana. Mmoja wapo alikuwa ana urefu futi 11 na alikuwa na ngozi nyeupe sasa mfano wa chaki. But hii kitu haijawa documented maana kwetu huku kuna mkanganyiko mkubwa sana kati ya Aliens sightings pamoja na demons.
Ila kwa upande wangu Demons ni demons na Aliens ni Aliens.

Bi mdada huyu
main-qimg-8cc53fece6ff616d1c834e46ba630303.jpg

Sent using Infinix hot 4
 
Ni kweli maana kuna jamii za Waarabu upande wa morocco zinadai kuwa walishawahi kuwaona hawa jamaa wakiwa wawili warefu sana. Mmoja wapo alikuwa ana urefu futi 11 na alikuwa na ngozi nyeupe sasa mfano wa chaki. But hii kitu haijawa documented maana kwetu huku kuna mkanganyiko mkubwa sana kati ya Aliens sightings pamoja na demons.
Ila kwa upande wangu Demons ni demons na Aliens ni Aliens.

Sent using Infinix hot 4
Mzungu alichokifanya ni kupaka rangi tu hayo majina ili apoteze maana. Hao Alien ndiyo majini na majini wapo weupe sana wenye uwembamba sana urefu wao unafika mpaka mita 70.

Wapo wengine urefu wao ni sawasawa na upana wao. Kama ana urefu wa mita 100 na upana nao ni mita 100.

Misri ya kale waliyojenga pyramid ni Misri ambayo iliyojihusisha na elimu ya nyota kwa sana(unajimu). Unajimu wao ulikuwa ni wa kichawi na kama hujui kwenye unajimu kuna mahesabu yanafanywa ya kichawi vilevile, na ndivyo Misri ilivyokuwa. Taaluma yao ilikuwa ni yenye kishirikiana na majini katika mambo yao. Hata wale waliorithi ama kusoma nchini Misri kwa wakati ule waliondoka na hizo tamaduni za Kimisri, mfano Wagiriki.

Na tamaduni za Kimisri walikuwa na secret society ambazo wanashirikiana nazo katika mambo yao. Halkadhalika Sumerian nao vivyo hivyo, Babylon nao vivyo hivyo. Fahamu kwamba majini waliishi kabla ya kiumbe binadamu kuwepo kwenye hii Dunia na ndiyo maana ukiwasiliza wazungu wenyewe utawasikia wanasema "Alien wanasema hii Dunia ni yao".

Wanachomaanisha ni kwamba wao waliishi kabla ya binadamu kuwepo. Hao ni majini na majini wana ulimwengu wao wanaoishi tofauti nasi kwenye Dunia hiihii. Wanachofanya wazungu ni kushirikiana nao ili wapate teknoloji ya majini kwa kuingia mkataba nao wa kishirikina.

Kuna documentary moja nilikuwa naitizama CIA agents ambao ni wazee sana walikuwa wanahojiwa na UFO hunters kuhusu Aliens. Fafanuzi na maumbile ya hao aliens hayana tofauti na majini, si Whitehouse wala CIA makao makuu wanaotoa order katika hayo mambo kwani yupo kiongozi maalum. Kuna mambo yanafanyika hata rais mwenyewe hana habari nayo na kafara wanafanya vilevile za kumwaga damu.

Ungelikuwa na uwezo wa kuwaona majini kuna mazingira fulani hivi yapo porini huwa wanapita kila siku kipindi Jua linazama wanapita kwa maumbile yao halisi na wa koo tofauti tofauti, na ukiwaona tafsiri yake ni kwamba na wao wanakuona kwa kifupi watakudhuru. Labda kuna hali uwe nayo. Hamna cha Alien.
 
Mkuu mbona hujawataja waisrael
....
 
Nimehofia ningewatibua watu na Uzi ungechukua taswira nyengine, ila wapo tena ni hatari.
Hapana mkuu wewe mwanga knowledge tu

Sent using Infinix hot 4
 
Hapana mkuu wewe mwanga knowledge tu

Sent using Infinix hot 4
Nitawaelezea hawa Waisrael wa sasa ambao asilimia 90+ ni kutoka mashariki ya Ulaya asili yao inajulikana kama Khazar. Khazar ni kabila yenye asili ya Turk. Kama runavyofahamu Uturuki ni nchi iliyo katika mabara mawili yaani Ulaya+Asia. Katika muunganiko wa hayo mabara ndipo lilipo hilo kabila la Khazar na walishawahi kupigana mara 3 au 4 na Dola ya Ottoman.

Miaka 1800 iliyopita kulikuwa na jamii iliyojulikana kama jamii yenye maovu ya kutisha ya kabila la Khazar ambapo baadae lilikuwa ni taifa liloongozwa na mfalme aliyeitwa Bulan Khagan. Huyu Bulan alikuwa ni mfalme anafuata tamaduni za kale za Babylon za kichawi.
Tuelewane lakini, huo mtazamo wa hilo kabila la Khazar kuitwa evil ndivyo wana history wanavyoliita wala si maamuzi yangu.

Taifa la Khazari walikuwa wanafahamika na majirani zake kama taifa wezi, wauaji. Kwa sababu ilikuwa ni trade route ya Europe na Asia majirani wa hizo nchi walikuwa wakikatiza hapo wanaporwa wana uliwa sanasana raia wa Urusi. 800 AD Warusi wakatuma ujumbe kwa taifa la Khazar na kumtaka Mfalme wa hilo taifa achague dini itakayoijenga taifa la Khazar na ifundishwe kwa watoto wakuwe nayo. Akapewa dini tatu achague, dini ya kiislam, kikristo na uyahudi. Bulan Khagan ambaye ni mfalme wa Khazar alichagua Uyahudi kwa sababu za kisiasa zaidi. Hilo tukio lilishuhudiwa na Urusi pamoja na nchi nyengine jirani.

Licha ya kuchagua Uyahudi bado taifa la Khazar liliendelea na tamaduni zao za kale za Babylon zilizojulikana kama za kishetani kwa sababu walikuwa wanatoa watoto sadaka kwa kuwaua na kula mioyo yao. Bulan Khagan ambaye ni mfalme wa Khazar akaziingiza hizi tamaduni za kale za Babylon akizichanganya pamoja na Uyahudi na akatengeneneza secret satanic hybrid religion ilijulikana kama Babylonion Talmudism. Mchanganyiko wa huu dini ndiyo ukafanywa kuwa Dini ya taifa la Khazar.

Mnamo karne ya 13 kutokana na vita walifukuzwa katika ardhi yao na kukimbilia Ulaya ya mashariki. Wengi wao walikimbila Poland na Russia. Ndiyo hawa Ashkenazi Jewz wapo katika nchi ya Israeli kitabu wanchotumia ni Talmud, licha ya kwamba wanasoma lakini moja ya mambo wanayoyafanya katika elimu ni tamaduni yao wanashirikiana na wale viumbe wa kale ya Babylon ambao ni majini, na hii ilikuwepo hata kwa Waisrael wenyewe wa asili walipotolewa utumwani Misri walikuwa na zile tamaduni za Kimisri za kuabudu, mfano wa ibada waliyotoka nayo ni tamaduni ya kuabudu mungu ng'ombe "HATHOR"

Naishia hapa kwanza.
 
Kwa maana hiyo waisrsel wa asili wamipotelea wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado wapo ni Sephardic Jews. Kimuonekano hana tofauti na mwaarabu na hii kiasili Waisrael ni watu wa mashariki ya kati na waarabu asili ni wa Yemen. Wa Yemen wana uweusi na uwekundu kwa mbali.

Rais Gamal Abdel Nasser wa Egypt aliwaambia Jews wa Ashkenazi waliokuja Israel 1948 kutoka Ulaya ya Mashariki kwamba tatizo lililopo baina yake na Wayahudi wa sasa ni kwamba walitoka weusi iweje warudi weupe. Wamisri wanawafahamu vizuri Waisrael kwanza kiasili, na alama ya michoro bado ipo katika pyramid ikionesha Waisrael ni weusi.

Azzut au Shanuah ndiyo muonekano wa Waisrael. Hili ni kabila la waaarabu, ni weusi kama walivyo watu weusi.

Ajabu ndiyo waisrael wanaowekwa daraja la chini nchini Israel.
 
Nilishawahi kusikia hii kitu but ilikuwa kwa kudonoadonoa

Sent using Infinix hot 4
 
Kusema ukweli wazungu waliachwa mbali sana na mataifa mengine, watu walikuwa na maendeleo miaka mingi kabla ya hawa wazungu
Kote huko ulikoongelea kuanzia huko Machu Picchu walikuwa wamefika huku kwa akili zao na mambo ya alien ni uongo wa wazungu tu wanashindwa kusema walitanguliwa sana na mataifa mengine

Kuna sehemu zingine zilikuwa ni miji mikubwa tu ambayo imefunikwa leo na bahari

Wala usiende mbali hapo kwetu WAHAYA walivumbua kuyeyusha chuma 100 AD
Miaka 1400 kabla ya wazungu kujua kuyeyusha chuma

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom