Recent content by Bolotoba

  1. B

    JamiiForums Tanzania Usisbiri ajira tu, anza biashara ya vifaa vya baiskeli

    Spare zipi zinatoka sana
  2. B

    JamiiForums Tanzania Asusiwa chakula msibani kisa huwa hali kwenye misiba ya wengine

    Nimewaza kama wewe mkuu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Confession: Juu ya kulala na wake za watu

    Ni bora ugonge mtoto wa Igp wa kike Ila sio mke wa mtu kaka! Utajikuta unaugua bawasiri
  4. B

    JamiiForums Tanzania Je, kuoa ambaye ameshazaa na wewe huna mtoto inaweza kuleta changamoto baadae?

    Mabinti wadogo hawataki kuolewa
  5. B

    JamiiForums Tanzania Je, kuoa ambaye ameshazaa na wewe huna mtoto inaweza kuleta changamoto baadae?

    Niliwahi kuleta mada hapa miezi kazaa nyuma wale kijana wa miaka 26 na mtu mpenzi mtoto ana miaka 29, 1.Sasa yule mdogo wangu anasema akijaribu kuingia kwenye mahusiano na wasichana wenye miaka 25 kushuka chini wanaishia kugombana pia wanamkataa sana haswa hawa wa 18-25 anasema wanaomba hela...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kijana ana miaka 26(2000) anataka kuoa singo maza wa mtoto mmoja ana miaka 28(1998)

    Au wewe unasemaje mzee mwenzangu ni kweli miaka 30🤣Kuna wachumba
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kijana ana miaka 26(2000) anataka kuoa singo maza wa mtoto mmoja ana miaka 28(1998)

    Miaka 30 ndo kuna nini mkuu mimi Nina miaka 30+ lakini wanawake naowaona ni wa ajabu aseeh
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kijana ana miaka 26(2000) anataka kuoa singo maza wa mtoto mmoja ana miaka 28(1998)

    Malaya kivip mkuu si lakini yeye Sasa kwa mujibu wake anaona hao ndiyo sahihi sijajua kwanini umewaza hivo?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kijana ana miaka 26(2000) anataka kuoa singo maza wa mtoto mmoja ana miaka 28(1998)

    Wakuu habari ya Leo habari Za mwaka 2026 nimerudi baada ya kupotea jf kwa miezi mitano (5) Sasa wakuu mada ni kwamba kijana yuko njia panda ana mpenzi wapenzi wawili mmoja ni A. Ana miaka 28 -ana mtoto mmoja -elimu ana diploma -fundi cherehani -mtoto wa miaka miwili -binti anaishi kwao toka...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mtu akisema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?

    Upo sahihi nilikua najua ni umri wake ni kama kina gadner(marehemu) kumbe ni babu
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mtu akisema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?

    Nilipokuwa na miaka 20's ya mwanzoni nilikua naona mtu mwenye 30-40 kamili ni wakubwa sana hadi nilipo anza kuu karibia umri huo,🤣naona kama ni watoto tu, labda kuanzia 50 kamili 46 kuendelea Asee ni jua la jioni
  12. B

    JamiiForums Tanzania Makatibu uenezi 5 ndani ya miaka 5 Tatizo ni nini?Samia kuna shida mahali

    Wewe ni mqundu ety, kwo Wewe mwenye GpA kubwa unalipi la maana?, una mchango gani kwenye taifa "madafaka" wewe
  13. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo Wakuu nataka kujiajiri kupitia ukalimani

    Habarini za siku nyingi, wakuu 1.Leo, ninaomba mnipe mawazo yenu, hivi nikienda kusomea ukalimani wa lugha ya kichina uhakika wa kupata kazi je upo? 2.chuo kipi kwa hapo daslam wanachofundisha kichina vizuri 3. Bei ni shingapi? 4.kwa muda gani angalau mtu anaweza kuwa competent kwenye kichina
  14. B

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kuna wazungu wengi mno, nipeni mbinu za kupata jimama a.k.a lishangazi la kizungu

    Oya wewe msnge ukipata, ukipata limama na mimi nipasie
Back
Top Bottom