Recent content by Bokombe Omarobha

  1. Bokombe Omarobha

    Jeshi la polisi lajianika

    Raia wa nchi hii kitu ambacho hawana ni mahali pa kusemea dhuluma wanazofanyiwa, na mahali pa kusemea kudai haki yao. Ukisemasema sana unaambiwa unachochea vurugu, haya bana
  2. Bokombe Omarobha

    Waheshiwa Ummy na Kigwangala, heshimuni science

    Cha ajabu sirikali wanadai walikuwa wanafanya majaribio ya vifaa vya uchunguzi, nashangaa majaribio pasipo ugonjwa, matokeo yake nini? Nchi ya kisanii.
  3. Bokombe Omarobha

    Changamoto zilizotukwamisha kuhamia Dodoma mwaka 1976 na 1988

    Ni kweli kwa hili la kuhamia Dodoma naunga mkono hoja bila kupepesa kope ya macho yangu.
  4. Bokombe Omarobha

    Magufuli awatesa CHADEMA. Wajumbe wamsulubu Mbowe

    Wanaoona eti Magufuli ana kasi ni ushabiki tu, hebu tatueni kwanza issue ya sukari, 2. Wafanyakazi hewa sio kukimbilia benki Orodha yao wameipata wapi na majina wanayadai Benji?
  5. Bokombe Omarobha

    Rais Magufuli ndio jipu la Tanzania

    Tunayo katiba moja tu, sio mbili. Kama unazungumza pendekezwa haijawa katiba bado.
  6. Bokombe Omarobha

    Yaliyojiri: Uchaguzi wa Marudio visiwani Zanzibar - Machi 20, 2016

    Mimi siwezi kuelezea hiki kituko huko Zanziba kama ni uchaguzi ni kioja cha mwaka.
  7. Bokombe Omarobha

    Mpendazoe: Mbowe anatakiwa ajiuzulu siyo kupendekeza Katibu Mkuu wa CHADEMA

    fred Mpendazoe, ametoa mawazo yake anavyoona binafsi yake, lakini na wanachama wa CDM nao wanatoa mawazo yao, nikiwemo mimi, nikienda kinyume kabisa na mawazo yake nikiunga mkono kuwa hajapima kwa uhalisia mafaniko ya Mh.Mbowe kwa CDM, kwa kuwa Mpendazoe amezoea kulalamika ndiyo mfumo wa mawazo...
  8. Bokombe Omarobha

    Je Mwakyembe atarudisha katiba ya Warioba?

    Nani? Mwakyembe? Atapita njia gani hata ailete katiba ya wananchi, mwuulize ushindi wake wa ubunge huko kwao kama una uhalali wowote.
  9. Bokombe Omarobha

    Nini kifanyike watanzania tupate katiba bora

    Asante #rofejo , cha pili ni kutengeneza mtandao wa wanamabadiliko, tujuane ili kupeana habari na misimamo. Maana mafisiem wao wana mtandao tayari. Ili ikiwezekana kila kitongoji, kila kijiji, kila mtaa, kila kata, kila JIMBO viongozi wa mtandao huu wa mabadiliko wapatikane na mfumo wa usiri wa...
  10. Bokombe Omarobha

    Nini kifanyike watanzania tupate katiba bora

    Ni kugoma kuingia uchaguzi mwingine bila katiba mpya,
  11. Bokombe Omarobha

    Wazo: Uitishwe Mdahalo kati ya Magufuli Vs Lowassa

    Mwaka 2010 maccm mlikimbia midahalo hadi mkurugenzi fulani katemeshwa kibarua kwa kusimamia midahalo, sasa huu wa sasa ujasiri mmeupata wapi? Janja yote lengo kwenye mic tu, tulishawajua
  12. Bokombe Omarobha

    John Mnyika kupata pigo jimbo la Kibamba

    Kama akipoteza wewe uchungu wa nini, mwaka povu linawatoka tu maccm mtasema yote
  13. Bokombe Omarobha

    John Mnyika kupata pigo jimbo la Kibamba

    Mwaka huu mtasema yote
  14. Bokombe Omarobha

    Bango gani la Lowassa Limekuvutia?

    Lakini yote matamuuu
Back
Top Bottom