Nini kifanyike watanzania tupate katiba bora

moodykabwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
625
602
Ajenda:

Nini kifanyike Watanzania tupate Katiba Mpya iliyobora na sahihi kuondoa udhaifu wa kisheria uliopo nchini??
 
Asante #rofejo , cha pili ni kutengeneza mtandao wa wanamabadiliko, tujuane ili kupeana habari na misimamo. Maana mafisiem wao wana mtandao tayari. Ili ikiwezekana kila kitongoji, kila kijiji, kila mtaa, kila kata, kila JIMBO viongozi wa mtandao huu wa mabadiliko wapatikane na mfumo wa usiri wa kupeana habari utengenezwe kwa faida ya mabadiliko. Lakini hili la kusubiri hadi wakati wa kura ndio watu wanajitokeza, wanajitokeza hata mamluki
 
Shida ya kwetu si kugomea uchaguz wala kuunda network ya wanamabadikiko.
Ukitaka katiba mpya yenye tija, anza kwanza na haya.
1. Vua kwanza u CCM, CDM, CUF nk. Au achana na uchama. Weka u taifa mbele ndo utafikiria kuunda kizuri. Ukishutumu uccm unasahau u chadema upoje. Maana nako hakuna demokrasia. Utakuwa mwenyekit wa taifa milele?
2. Wanasiasa wangeacha u maskahi kwanza. Maana wapo mule kwa kuangalia jinsi gani itawabana itawanufaisha etc. Wajadili na kupitisha kwa ajili ya taifa na si kwa ajili ya manufaa yako
3. Watanzania nao waamke. Zaidi ya 90% hawaijui katiba, inafanya nn, uwepo na kutokuwepo kwake kuna faida na hasara gani. Yy hajui lakin unawezamkuta anapiga kelele ya katiba mpya bila kujua ya sasa ikoje ina mazuri gani na mapungufu gani. Na hii imeleteleza watu kutoa maoni ya hovyo hovyo yasiyo na tija.
4. Kususa kwa viongozi wetu nalo ni tatizo. Issue kidogo wana susa na kutoka bungeni. Ni lini watatutengenezea wa tz mazuri. Kwa nn wasipigane kwa hoja mpaka kieleweke? Kutoka ndani sio suluhu matokeo yake kila siku twatungiwa vitu vibovu.
5. Etc
 
Asante #rofejo , cha pili ni kutengeneza mtandao wa wanamabadiliko, tujuane ili kupeana habari na misimamo. Maana mafisiem wao wana mtandao tayari. Ili ikiwezekana kila kitongoji, kila kijiji, kila mtaa, kila kata, kila JIMBO viongozi wa mtandao huu wa mabadiliko wapatikane na mfumo wa usiri wa kupeana habari utengenezwe kwa faida ya mabadiliko. Lakini hili la kusubiri hadi wakati wa kura ndio watu wanajitokeza, wanajitokeza hata mamluki
honfera sana
yani umeongea jambo la msingi sana hilo asaivi tunalifanyia kazi na mtandao huo unaitwa
CHANGES for ALL
na wewe unaweza kukaribia
nicheki whatsap 0659777650
usipige haipatikani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom