Recent content by bohemian

  1. bohemian

    Ugali ni chakula ambacho hakijawahi tengwa mahsusi kwenye meza kuu za Wafalme na Masultani, kinahusishwa na uduni wa kiuchumi

    Kabla ya kuandika ulitakiwa ku google kwanza, hii ni kukurupuka,ingia google andika peasant food (vyakula vya kimasikini) utagundua kuwa sausages, na pasta zipo katika listi ambapo kwako wewe uliyeposti unaweza kuwaunapoviona supermarkets unachanganyikiwa, kwa ufupi nikuwa mahindi yanalimwa...
  2. bohemian

    Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

    Aisee unamfahamu vizuri alex, mimi nilishare naye locker moja bweni la hanang23 pale old moshi 2001 akiwa A-level PCB kulikuwa na novels nyingi ninayoikumbuka ni Burden of Proofs iliyoandikwa na Scott Turrow, alikuwa na perfumes za gharama , nguo zake na viatu pia vilikuwa expensive sana...
  3. bohemian

    Jinsi ya kufuga dagaa

    Hawafugiki kutokana kuwa wanazaliana kwa wingi na kwa haraka na wanahitaji eneo kubwa sana, maji yawe masafi yenye hewa ngingi ndio maana utawaona baharini au ziwani tena wanapendelea kukaa mbali siyo pembeni
  4. bohemian

    Ana uume mdogo kama remote ya DSTV. Nifanyaje?

    Huwezi jua inatumikaje, mpe uone ballaa lake
  5. bohemian

    Madoa ktk chupi "skid marks"

    Mbona mkifua chupi mnazificha?
  6. bohemian

    Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

    Kwenye kwapa kila mtu anayo, lakini mapajani na ktk makalio hatuna
  7. bohemian

    Kwanini wanawake wenye ndevu huwa hawazinyoi?

    Utafiti niufanyie wapi, mkeo ana ndevu nianze nae?
  8. bohemian

    Madoa ktk chupi "skid marks"

    [emoji87] [emoji87] [emoji87]
  9. bohemian

    Kwanini wanawake wenye ndevu huwa hawazinyoi?

    Katika pitapita zangu nimegundua kuwa wanawake wanaotokea kuwa na ndevu huwa hawazinyoi kabisa hata zikirefuka vipi, tofauti na sisi wanaume ambao wengi wetu hatutaki kuziona zikitokea tu zimenyolewa, ndio nauliza ni kwanini? Au mnatuonea wivu?
  10. bohemian

    Madoa ktk chupi "skid marks"

    Sababu inayofanya watu wengi wasianike chupi ktk kamba nje au hadharani tofauti na nguo nyingine ni madoa sugu "skid marks" hasa kwa chupi nyeupe, solution yake ni nini? Fungukeni
  11. bohemian

    Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

    Hivi michirizi ktk mapaja ya wadada wengi husababishwa na nini? Ni suruali za kubana au sababu ni wengi wanayo japo si wote!
  12. bohemian

    Nawapenda sana wanawake wa uswahilini kwa ubunifu wao.

    Hata mimi nilidhani ni ktk ubunifu wa kuvua chupi!
  13. bohemian

    Sambusa tamu sana

    Jamaa mjanja anazichunga msimuibie
  14. bohemian

    Ninajamba sana ifikapo asubuhi

    Kujamba siyo tatizo kama hewa haichafuki, ila kama hewa inachafuka kuwa makini na chakula unachokula hakikisha matunda yenye fibres hayakosekani
Back
Top Bottom