Recent content by bogoshi

  1. bogoshi

    JamiiForums Tanzania Ni aibu Prof. Sifuni Mchome kufanya kazi na Dr. Ndalichako Joyce!

    Utendaji mzuri wa mtu yeyote waga haujumiwi na mtu yeyote
  2. bogoshi

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa maji katika kata za Mhandu, Mahina, Igoma na Busweru Jiji la Mwanza

    Waziri mwenye dhamana tusaidie maana mpaka sasa tatizo limedumu kwa siku tano wakati Mwauwasa wakiwa wamekaa kimya.
  3. bogoshi

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI kuhamishiwa ofisi ya Rais: Magufuli hamwamini Majaliwa?

    Umeganda mawazo, serikali hii ni moja hizo ni wizara tu
  4. bogoshi

    JamiiForums Tanzania Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

    Wewe ndo umekufa
  5. bogoshi

    JamiiForums Tanzania Tibaigana: Huyu ndiye Rais niliyemtaka

    Hongera sana Tibaigana
  6. bogoshi

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi huru: Jakaya Kikwete anafuata nyayo za Rais Vladimir Putin?

    Sio kweli, huo ni uwezo wako mdogo kufikili
  7. bogoshi

    JamiiForums Tanzania Magufuli atashindwa kama Nyerere

    Hacha mawazo mgando, sheria zipo wazi
  8. bogoshi

    JamiiForums Tanzania Mpaka mwaka 2017 watanzania 99.59% watakuwa CCM

    Ndo hivyo mkuu
  9. bogoshi

    JamiiForums Tanzania Magufuli, Pesa hizi zinatoka wapi?

    Kwani nyie mnauliza nini? Muda wa siasa umeisha muacheni aongoze nchi, nyinyi mmefeli tulieni.
  10. bogoshi

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa UKAWA wameshasaini Bungeni!

    Wewe ndiyo maana umekosa jimbo, kazi yako majungu tu. Hujui hapa kazi tu.
  11. bogoshi

    JamiiForums Tanzania Ziko wapi Media Ethics kwa ITV/IPP Media?

    Acha mambo ya ajabu, unataka waripoti nini?
  12. bogoshi

    JamiiForums Tanzania Lowassa asababisha timua timua ITV

    Kama wameshindwa kulinda maadili yao ya kazi wafukuzwe
  13. bogoshi

    JamiiForums Tanzania Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

    Umekosa habali
  14. bogoshi

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa, anzisha chama kipya cha siasa (Advice to Dr. Slaa in public)

    Hatudanganyiki
Back
Top Bottom