Recent content by bog

  1. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yasaini mkataba ujenzi Daraja la Jangwani, Sh Bilioni 97.1 kutumika

    Ukweli ni kwamba hautaki kuwapatia kazi wakandarasi wa ndani. Mbona taifa gesi wanaweza Sana. Kuna shida kwenye uhongozi.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yasaini mkataba ujenzi Daraja la Jangwani, Sh Bilioni 97.1 kutumika

    Kumbe WWE Una akiri Sana. Mimi nilishafikiria pale papigwe ntarchange ni raisi, Mtu kutoka Morocco accaconet pale machinga, au kutoka machinga acaconect calendar bridge au Morocco kariakoo mpaka kurasini.
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Tunapita refinary plant .
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Nchi yenye uchumi mkubwa inayojenga miundombinu ya mwaka 1960 kwenye Karne ya 21 hiyo ni nchi kweli.
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hivi Kwanini uwa mnadiscuss issues za Tanzania na Kenya. Kenya ishajifia. Expressway wanazolingia ndio Mchina anaanza kuwekeza Dar. Wana kitu gani tena, Tanzania Mafuta na gesi hayo Yanakuja uku EACOP inaendelea vizuri. Tunajenga refinery kubwa ili yote ya Tanzania na Uganda tuyarefine hapa...
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kafurira naona anapanbana. 1 billion USD serikali inawezatoa lakini. Walau ingekuwa 3 billion USD ingekuwa project nzuri.
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Magu was very bright.
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Unaonekana Mafuta na gesi vipo
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Nchi zote zilizotawaliwa na muingereza zinarudi nyuma Kwa kudanganywa kuwa Wana maendeleo Kwa kuongea kingereza na kuwapa data za kuwafariji kuwa wako juu. Kenya, South Africa, Zimbabwe, Malawi wanaoorokoma Kila kuchao.
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Data zako za kipuuzi, weka link sio unatuwekea picha
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Largest pharmaceutical market ndio unajisifia ww mgonjwa nadhani.
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kafanye cost benefit analysis Kati ya Barabara na reli. Kwanza lifespan ya Barabara unajua ni miaka mingapi na reli ñi miaka mingapi? Barabara kusafirisha tani Mia Kwa roli Kwa kilometers 2000 unajua inakugalimu dollar kiasi gani Kwa kununua Mafuta ukiringanisha na reli. Tena reli ya umeme...
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Aya SGR 10 b USD , jhpp project 3 b usd, Dodoma city 7 b USD, main port Mtwara, Tanga Dar es salaam 550 M USD , niendelee?
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kaka ili upunguze ghalama za usafirishaji reli haikwepeki tuna ushindani mkubwa na corridor zinazotuzunguka Hamna njia nyingine ni lazima kuwekeza kwenye reli.
Back
Top Bottom