Recent content by body contact

  1. body contact

    JamiiForums Tanzania Aibu Dereva wa Daladala kumtukana Trafiki Polisi matusi ya nguoni

    Njagu kazini,af nyie jamaa ni wanoko by nature!by the way hongera kwa kupata kazi.
  2. body contact

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Habari zenu wandugu,nautafuta sana wimbo wa stanboi sweetgirl, na mwingine sikumbuki unaitwaje ila chorus yake inaimba "maumivu ya mapenzi ni bora mtu akuungeze na moto,"zipo mbili ila nahitaji ile OG, Natakunguliza shukran za dhati
  3. body contact

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Usikomaze fuvu dingii!
  4. body contact

    JamiiForums Tanzania Operation Barracuda: "Mission hatari ya kijasusi nchini Kongo"

    Salaam aleykum
  5. body contact

    JamiiForums Tanzania Zitambue hasara za kuzama chumvini kwa mwanamke

    Mi siwaelewagi kabisa hawa wahisani,vitu kama hiv ndio ilibidi wafkirie kuweka chanjo sasaa[emoji16][emoji16]
  6. body contact

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Serikali, Naomba Chanjo iwe lazima hatutaki kuangamizwa na wapuuzi wachache

    Chanzo ni magonjwa yenu hayo yaliyokosa dawa,kinga kwishney,saiv mnatapatapa tuu[emoji23][emoji23][emoji23]
  7. body contact

    JamiiForums Tanzania Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    "Umeme umekatika,tunaishi kwenye nyumba isiyo na umeme,ila na bado umeme ukirudi utaskia uwooooo!"
  8. body contact

    JamiiForums Tanzania Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Poor you,ujinga ni kujiona mjanja mbele ya hao unaodhania ni wajinga kwa kuonyesha hisia zao kuhusu wazo ambalo hata wewe si ajabu hujalijua vizuri. I'm not sorry[emoji57]
  9. body contact

    JamiiForums Tanzania Ofisi nyingi hazitaruhusu watu kuingia bila kuwa na chanjo

    "New world Order"
  10. body contact

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima, kuwa Daktari (PhD Holder) hakumaanishi unaweza kutibu wanadamu

    Kwani gwajima ni nani?kama ile haki ya uhuru wa kuongea bado inapumua,mimi ninadhani kila mwenye masikio asikie, "Akili za mbayuwayu,chakanganya na zako" by dkt jmk
  11. body contact

    JamiiForums Tanzania Nahisi huyu Mtengeneza Matukio na Msahaulishaji Matukio katika Vichwa vya Watanzania analipwa Mshahara mkubwa sana

    Ukishindwa kuwashawishi,wachanganye!wape pombe wasahau shida zao[emoji23][emoji23][emoji23]
  12. body contact

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi jamii inavyopata athari kwa kupuuza tatizo la Saikolojia

    Elimu, elimu, elimu Kwa kifupi elimu yetu tulionayo sio rafiki wa enzi hizi za science & technology. Bado tupo kwenye matumizi ya kuni kwenye dunia inayotumia hadi nyuklia kama chanzo cha nishati.
  13. body contact

    JamiiForums Tanzania Tuambie jina lako la Burundi unaitwa nani?

    Hivi nauli ni shilingi ngapi?nahitaji na namba ya dalali warundi wenzangu[emoji1787][emoji1787]
  14. body contact

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Sadhu Amar Bharati,mtu alienyoosha mkono wake juu bila ya kuushusha kwa miaka 47

    Halafu kila siku utaskia kitu cha blantyre(malawi),kumbe kunae kitu cha mumbai hukoo mixer chilly sause na hawatustuii[emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom