Hakuna cha kufurahisha apa. Watanzania walio wengi wanafukuta kwa chuki za ndani kwa ndani.
Watawala msifurahie hii hata kidogo mkajiona mmeshinda, Malalamiko yote ya wananchi mnayajua. Yafanyieni kazi.
Polisi polisi polisiii shauri yenuuu.
Magufuli namkumbuka kwa uchapakazi wake mahiri, katika kusimamia walio chini ya uongozi wake. Pia Raisi Magufuli alikuwa muwazi na mkweli kwa kile alichokiamini haswa katika maswala ya ndani na nje ya nchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.