Recent content by BobMsechu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tanzanian MP, Hon Tundu Lissu blames Government

    No research no right to speak. Hivi una habari kwamba amesafiri kwenda Ubelgiji akiambatana na mkewe?
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nchi 15 duniani zinazoogopwa kwa uchawi na ushirikina

    Nigeria wametisha sana. Wameiloga hiyo list wakajitoa tukaingizwa sisi Tz.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la Coco Beach: Manji asitisha mpango wa kuchukua ufukwe wa Coco Beach kwa lengo la kuwekeza

    Issue ya Coco inaweza kuwa kubwa kuliko tujuavyo mimi na wewe. Huwezi kujua ni kwa nini ananyimwa kupamiliki. Hajaanza kuruka napo jana wala juzi. Ni miaka mingi ameruka napo chini chini sema J.K alikuwa ni mpole hawezi kumchana ukweli kwamba hawezi kupamiliki.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Polepole: Walitaka kumhonga Rais Magufuli Sh. Bilioni 300 ili asifanyie kazi taarifa ya mchanga

    Tusikurupukie hili suala la rushwa japo laweza kuwa na siasa mingi lakini kuwa watu wanaitwa lobbyists ni watu wa hatari sana. Mfano mdogo tu ni Zitto Kabwe (anayeweza kukusanya kura za kumng'oa waziri mkuu) japo yeye bado sio expert kama watu ambao wameSpecialize kwenye hiyo field. Kwa wenzetu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mtaji Kilimo cha Umwagiliaji

    Kwa uzoefu wangu nyanya zina soko zuri mwezi wa kumi na mbili mpaka mwezi wa saba ambapo huwa zinaporomoka bei vibaya mpaka wanaishia kulishwa ng'ombe kama tunavyoonyeshwa kwenye mitandao. Hivyo basi miezi mizuri ya kuandaa kitalu ni mwezi wa saba mpaka wa pili mwishoni. japo miezi ya kwanza...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kilimo ni biashara pekee inayolipa kwa 100%

    Naomba mawasiliano yako mkuu. Nina mpango wa kulima kitunguu.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kilimo ni biashara pekee inayolipa kwa 100%

    Inategemea na timing ya soko sio kulima tu msimu wowote. Kitunguu kinaweza kutoka mpaka gunia 200 kwa mbegu ya hybrid sema vitunguu vyake ni vikubwa sana.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kilimo ni biashara pekee inayolipa kwa 100%

    Mkuu naomba nisaidie namba yako ninahitaji kulima kitunguu mwaka huu.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Je, bikra inaweza kutoka bila kukutana na mwanaume? Na kwanini wasichana hawapendi kuulizwa hili?

    we nawe usituchoshe ushawahi kukutana nayo hata moja ukaona usumbufu wake?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wasichana: Tabia ya kutongozwa huku wanakata majani ipo?

    Hiyo ni sanaa ambayo inahitaji upeo wa juu sana kuielewa. Sio lazima muwe mnaongelea gegedu ndipo ang'oe majani. Mnaweza kuwa mnaongelea urefu wa barabara ya Bunju mpaka Kariakoo lakini akang'oa majani. Hapo kinachoongea ni body language kati ya yeye na wewe na si maneno. Tatizo letu wanaume...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nilisimamia show ya mafuta na lunch lakini bado niliachwa kituo cha basi

    Hatutaki kusikiliza mashtaka ya upande mmoja na kuhukumu. Mlete kwanza kwenye baraza aje kutoa maelezo. Wadada huwa mnakuwa wataalamu wa kutengeneza mazingira mapema ya kuonewa huruma hasa mnapokuwa mmefanya makosa.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mademu msijifanye vichaa wakati mentally hampajui, mtakuja mfe kwa stress

    Kosa hilo unajifunza nini wakati umeshanasa?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Umetongozwa leo na leo leo umevua nguo loh!

    Kwa kudhungu 'birds of the same feathers flock together'.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nimempa mimba dada fulani najuta kuzaliwa!

    Ulihisi una uhuru wa kugagadua. Nasema hivi not to that extent.
Back
Top Bottom