Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,488
- 13,608
Duh, haya bwana nimekusoma.Hata yeye ni panja kupitia kwa mwanae
Duh, haya bwana nimekusoma.Hata yeye ni panja kupitia kwa mwanae
Zile shamra shamra zilificha ujumbe kama ule unaoandikwa kwenye kanga za kinamama. Mkwere aliutambua ujumbe ule na yeye kwa sababu mtoto wa mjini akacheka sana.Kwani ulitegema wabunge WAGUNE?
Kikwete Si amekuja kushuhudia HESHIMA aliyopewa na Rais Magufuli ya mke wake kuteuliwa bunge na kuapishwa?
Wabunge walimpa heshima kama rais Mstaafu ambaye alikuwa amekaa kwenye galley ya wageni na si kama rais.
Hivyo sioni Jambo kuubwa sana kando ya HESHIMA ya kiongozi aliye pass the button kwa kiongozi mwingine.
kosa moja tu jakaya alifanya nikumsaliti ngoyai baas. Hilo tu na hatutamsamehe had akamuombe msamaha rais wetu wa wote lowasa.
Hapa nanyi mmezidisha chumvi. Sasa hili la Rwanda limetoka wapi?. Yaani umejitungia uongo na kuamini kuwa ametokea Rwanda?. Hivi kweli kuna watu humu watakuamini?. Mbona ni uongo tena ni uongo mweupe sana.
Hawezi kuwapoteza hadi waziri mkuu alikuwa anarukaruka kimoyomoyoHao wabunge wa CCM walioonyesha imani na kummisi Kikwete wajiandae kupotezwa, kama si wote basi karibia nusu yao. Nadhani hawamjui Sizonje. Kama alichukia ile tu ya watu kuimba wanaimani na mtu fulani sebuse leo wanapiga makofi kabisa na kusema wamemmis mtu mwingine zaidi ya Yeye. Mwafaaaaaa!
Acha hizoHawezi kuwapoteza hadi waziri mkuu alikuwa anarukaruka kimoyomoyo
Mkuu una hatariAna roho ya kinyarwanda kwani ni Siri ?
Mkuu una hatari
HaihusikiSome thing can't stay buried...
Bashite toa vyetiiiiii
Wazee wa Conspiracy haoHapa nanyi mmezidisha chumvi. Sasa hili la Rwanda limetoka wapi?. Yaani umejitungia uongo na kuamini kuwa ametokea Rwanda?. Hivi kweli kuna watu humu watakuamini?. Mbona ni uongo tena ni uongo mweupe sana.
umejitahidi kuandika lakini huna hoja. kushangiliwa hakuondoi udhaifu wake uliosababishia taifa hasara.Leo watanzania wameshuhudia jinsi wanasiasa wake wakiwapo wale wa upinzani walivyo mshangilia rais mstaafu wa awamu ya nne jakaya mrisho kikwete bungeni na kusema wanammiss. sishangai kwa wale wabunge wa ccm lakini waliungana kwa makofi ya muda mrefu na wale wa upinzani. alipokua madarakani wapinzani wakiwa wanapinga tu kila kitu kama vipofu walimuita kila jina jk. walisema ni mpole walisema
ni mwoga walisema kazi yake kuchekacheka walisema anasafiri nje hadi kumkatia jina la vasco da gama. walisema anawalinda mafisadi etc etc.
kikwete alipokua anatoka madarakani akasema 'mlisema mimi mpole nakuleteeni tingatinga chuma hiki na tayari kimeanza kutema cheche' mtu mkali mtu asiyechekacheka mtu asiye na simile na ufisadi mtu asiyesafirisafiri nje. wananchi tumeona kilio cha wanasiasa wetu. sio wa upinzani tu hadi wa chama tawala. wanalia eti mtu mkali hadi baadhi ya wapinzani wanazua uongo na propaganda chafu dhidi yake. wengine wanasema eti ni kichaa.
sio kama jk hakustahili heshima kubwa aliyopewa na bunge kwa siku hii ya leo ambayo itawekwa kwenye kumbukumbu ila nachotaka kusema kwa wabunge na wanasiasa wetu wengi ilikua ni ujumbe kwa jpm kwamba 'utatuua unakata mirija yetu kila mahali' wamekasirika hawapendi kuzuiwa kuwanyonya wananchi. fedha sasa zinaelekezwa kwenye huduma na maendeleo ya wananchi sio kuliwa na vigogo.
Huenda?Zile shamra shamra zilificha ujumbe kama ule unaoandikwa kwenye kanga za kinamama. Mkwere aliutambua ujumbe ule na yeye kwa sababu mtoto wa mjini akacheka sana.
Hatujamtukana Jakaya sisi,Eenh Wabunge wa CHADEMA wake kwa waume wamlilia Jakaya Bungeni yule waliokua wakimtukana kila siku.
Naamini Mama Salma ameteuliwa ili aweze Namuona Rizi one akiwa waziri katika awamu ya pili zaidi ya Mama Salma Kikwete. Uwaziri.
Rubbish!Tulia we Bashiterapa, JK huwezi fananisha n mhutu Kipara ngoto wa Rwanda