*Anayechunga mdomo wake anachunga maisha yake. Anayesema bila kujali anaweka maisha yake hatarini. Methali 13:3 . Maneno mazuri ni matamu ndani ya moyo na huponya mifupa. Methali 16:24.*
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una mwaka tu mara hii unaijua marekani kiasi cha kutaka kuwaelezea watu ilivyo.acha mzahaa bhana alaf ayo unayojibu ata nikihingia wikipedia nayakuta niaje wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaman ubungo inatoa magar 500-700 yanayoenda mikoan kila siku.tusimlaum sana huyo jamaa mana maboya wanaingia na kutoka kila leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alaf hawa wanao tukana hata kama ungesema inauzwa wala wasingenunua basi tu wameamua kuchafua mazingira.ila KUDO jitaidi utupie mzigo mwingne mana umeachia patam kweli......!
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.