Recent content by bmp

  1. B

    Diamond amuita Jokate "makombo"

    Almasi yupo juu, watu wengi wanamkubali, ila wachache wanmwonea wivu kwa mafanikio yake, dogo anajituma sana ndo maana kafanikiwa, piga kazi Almasi inayong'aa.
  2. B

    Audio: BBC wafanya Interview na Diamond kwa kiingereza

    Almasi Chiboko, upo juu dogo, baki huko huko uskubali kushuka chini tena!!!??
  3. B

    Askari waliomteka Ulimboka ni wazalendo wa kweli

    We maundumula, wewe na mimi na wengine ndo hatuwafahamu, ila Dr. Uli anawafahamu ndio maana alikwenda kuongea nao.
  4. B

    David Silinde ashinda kesi yake ya kupinga ushindi wake dhidi ya DR lucas Siame

    Mbona heading ipo poa tu usichoelewa nini?
  5. B

    JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

    Kila kitu kina mwanzo na mwisho wake. Mwisho wa ccm upo karibu sana. Dont you people worry!!??
  6. B

    James Millya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha ajivua GAMBA akimbilia Chadema

    Duh!! EL kuhamia CDM? Haiwezekani, hata kama akihama CCM, CDM wasimpokee, labda arudishe yote aliyowapora wanyonge.!!??
  7. B

    Kauli ya Mwisho ya Mwalimu kuhusu Mzee Mtei pale nyumbani kwake Msasani..

    Ni kweli kabisa, baada ya kusoma katiba ya chadema alikisifia na kubaki na katiba ile.
  8. B

    TBC yakacha kuonesha uzinduzi wa CCM!!!!?????

    Wadau, Inaelekea uzinduzi wa kampeni za Arumeru in aibu maana TBC1 haijaipa coverage yoyote, habari za nymbani zimeisha sasa ni habari za kimataifa!!!
  9. B

    Rushwa na uraia wa Siyoi, CCM watafutana uchawi badala ya kujibu HOJA

    Kwa sababu yupo kambi ya mafisadi, na ushindi wake kura za maoni ni wa kifisadi.
  10. B

    Malima kulala chumba cha 400,000/= hii ni nini CCM jitafakarini

    Suite gani haina TV!!!??? na dola 4000 kutembea nazo mji kasoro bahari za nini?? au alihongwa na watu wa madini!!?? Atakuwa kapigwa na CD tu !!??
  11. B

    Mgomo Umemalizika Rasmi!. Jee Bado Kuna Umuhimu Rais Kukutana na Wazee wa Darisalama?!.

    Ni kweli hizi ni conditions, Raisi kuahidi kushughulikia madai yao ni condition pia!!!??
  12. B

    Aibu: Kina mama watu wazima wadakwa wakijiuza

    Serikali korupti ndo kazi yake hiyo baba, kukimbizana na wamachinga na vyangudoa!!!???
  13. B

    Serikali yashindwa kulipa wafanyakazi, yapunguza maslahi kimyakimya

    Serikali corrupt always haikusanyi kodi, inawakumbatia mafisadi na mwishowe wanakosa fedha na kuwategemea hao mafisadi kuifinance. Ndivyo ilivyo serikali ya sasa ya Jakaya Kikwete na CCM yake!!!!!?????
  14. B

    Sitta: Nitahama CCM wananchi wakitaka nichukue 'nafasi nyingine'

    Huyu mzee yupo makini sana sio kama kina Waasira, na haogopi mtu anaweza mpasha Rais hadharani, mnakumbuka alipompasha bungeni??
  15. B

    Luhanjo atoa ripoti, Jairo arudishwa kazini

    Pinda yupo yupo tu anaendeshwa kaa gari bovu, hana maamuzi yoyote katika serikali hii wenye maamuzi ni luhanjo tuu, ambaye naye ni fisadi tuu.
Back
Top Bottom