Recent content by blueboy

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tishio la kumuondoa Mufti BAKWATA

    Uislam hauhitaji idadi ya wafuasi bali unahitaji WAUMINI, Uislam hata ukiwa na waumini 2 Dunia nzima, utaendelea kudumu mpaka siku ya mwisho.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tishio la kumuondoa Mufti BAKWATA

    Waondoke tuu na wafanye wanavyotaka, kwani BAKWATA ndio UISLAM?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tishio la kumuondoa Mufti BAKWATA

    Waondoke, tuu, na wafanye wanavyota, kwani BAKWAT ndio UISLAMU!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tishio la kumuondoa Mufti BAKWATA

    Shida iko wapi? Wauwache Uislamu waendelee na mambo yao!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ndege ya ATCL ya Julai imefika?

    Mbona Imeshatua Chato, wiki now Sent using Jamii Forums mobile app
  6. B

    JamiiForums Tanzania Muonekano mpya wa Yusuf Manji baada ya kusota rumande wiki kadhaa

    Upeo wako mdogo wa kufikiri, yeye alipenda amtakie mema kama, "Muislam mwenzake, kwani wewe umeshindwa kumtakia mema kama Mtanzania mwenzako! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. B

    JamiiForums Tanzania Waislamu waitikia kauli ya Lowassa, waijia juu serikali kuhusu mashehe wa uamsho

    Swala la kufuta uchakguzi wa Zanzibar,dini zinahusikaje? Hivi watz tunajielewa kweli! Post sent using JamiiForums mobile app
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu akikufanyia ishara hizi anamaanisha nini?

    Anataka mume wake apate mke wa pili,ili mkasaidiane kazi za nyumbani
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Waarabu kumuona Iran ni adui badala ya Israel kinanisikitisha sana

    Iko mashariki ya kati,nchi inayoitwa UAE
  10. B

    JamiiForums Tanzania Marekani yazitaka nchi za kiarabu kulegeza kamba dhidi ya Qatar

    Anamaanisha merekani ndiye anayezilisha nchi zote za kiarabu,ila sijamuelewa ni kwa msaada au vipi!, pili anaamanisha ndege za marekani ndio zinazowapeleka warabu na waislam kwa ujumla kwenda hijja.Ila anashindwa kuelewa nchi za kiarabu hazitegemei Chakula kutoka marekani, na pia anashindwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia: Mahujaji kutoka Qatar wazuiwa kuingia nchini humo kwaajili ya kuhiji Mecca

    Zambi ya mtu haiwezimbukizwa kwa MTU mwengine,hivyo zambi ya msaudia itabaki kuwa ya msaudia wala haiwezi ambukizwa kwa muislam mwengine aliyetoka mathalan afrika Kwa nia njema kwanda maka kuhiji.yeye atapata mema yake toka kwa Mungu na Msaudia atapata zambi zake respectively
  12. B

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia: Mahujaji kutoka Qatar wazuiwa kuingia nchini humo kwaajili ya kuhiji Mecca

    Hata Gadafi alipendekeza Mecca na Madina ziwe na utawala unaojitegemea,si ndio Saudia wakamtoa kafara kwa NATO
  13. B

    JamiiForums Tanzania U.A.E kukataza Raia wake kuonyesha sympathy kwa Qatar inafundisha nini watanzania?

    Umajitahidi kueleweka ndugu
  14. B

    JamiiForums Tanzania Je vikwazo dhidi ya Qatar ni kwa ajili ya kufadhili ugaidi au kuna jingine?

    Kama huna hoja ya kuchangia bora ukae kimya tuu,usome maandishi ya wenzako,sio ujinga
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ni nini sababu ya vifo vingi wakati wa kuhiji?

    Warumi ni dini gani?
Back
Top Bottom