U.A.E kukataza Raia wake kuonyesha sympathy kwa Qatar inafundisha nini watanzania?

Ninavyofahamu ni kwamba, makhawaariji ambao ni wachache ndio wanaowaunga mkono hamas. Wakidanganywa na wairan.
Wanalikuza tatizo la Palestina kwakuwa wanafaidika na mgogoro huo.wamepuuza ushauri wa wanachuoni wa kiislamu ili kutatua mzozo na Israel. Leo wanawaona wasuudi ni maadui
Sio kweli , ingekuwa wachache hamas hasingesinda uchaguzi palesine
 
Nadhani labda hufuatilii siasa za M.E, Qatar anawahifadhi viongozi wote wa Muslim brotherhood na Hamas wanaishi Qatar, hawa ndio tatizo na lazima urejee Qatar ni nchi ndogo sana na usitake kuwafananisha na Saudia au UAE kiutajiri. wao ni matajiri kutokana na uchache wao lakini kimapato ya kijumla hawafikii KSA au UAE. wewe chukulia hapa Tz watu ambao wanapinga serikali au kutaka kupindua fanya Rwanda au Burundi kawachukuwa na kuwapa hifadhi, Tanzania watakaa kimya? Rwanda tu na udogo aliamuwa kuwafuata wabaya wake mpaka Congo.
Maelezo yana ukweli kiasi kikubwa , lakini Qatar kuwaifadhi muslims brotherhood Na Hamas sio kosa kwa sababu hivyo vyama vilishinda uchaguzi kihalali ,sasa hapo nani muovu yule anayetetea haki au batri ?
 
Hawa Qatar siyo wa kuwaonea huruma kabisa.... Acha wavune walicho kipanda
 
Maelezo yana ukweli kiasi kikubwa , lakini Qatar kuwaifadhi muslims brotherhood Na Hamas sio kosa kwa sababu hivyo vyama vilishinda uchaguzi kihalali ,sasa hapo nani muovu yule anayetetea haki au batri ?
Mimi na wewe tunakubaliana kila kitu tatizo linakuja wote tunajuwa misimamo ya hivyi vyama ni siasa kali wakati mwingine watu wanachagua vyama ni ile hali ya maisha watu wanakuwa wana matatizo makubwa wanaona hawa ndio solution ila kwa hali halisi hawa ni matatizo. chukulia kwetu Tz watu waunde chama Islamic something au Christian something kama Nchi itakubali upuuzi huo japo vinaweza kwenda kushinda uchaguzi katika baadhi ya majimbo lakini ni hatari kwa Taifa. kama unakumbuka Algeria ndio ilikuwa nchi ya kwanza kwa Brotherhood kushinda lakini walitolewa haraka kwa nguvu imekuja kuwa ulikuwa uamuzi sawa leo Algeria iko stable. Muslim brotherhood wako vizuri katika misaada kwa maskini lakini katika siasa hawawezi maana hata Tunisia baada ya vacuum tu wakachukuwa nchi lakini wameshindwa. Brotherhood ndugu yangu sio watu wazuri wanatumia dini ili kujificha kwa malengo ya kisiasa ila lazima tuwe wa kweli Saudia pia ni tatizo kubwa maana alikuwa analea wahabi ila ni kama wanaanza kuwatoa taratibu ndio maana nasema hakuna msafi katika hili. zamani sisi tulikuwa hatujui kubaguana mambo ya dini ni pale Saudia alivyoanza kusambaza ideology za wahabi duniani ndio leo tuko hapa. tofauti ya wahabi na brotherhood, wahabi wana fikra mbaya na hatari na brotherhood wanachukua advantage ya umaskini wa watu kujipenyeza kisiasa sasa kuna nchi kama UAE na Egypt hawawezi kukubali.
 
Hivi wewe kwa akili yako ni rahisi kiasi hicho kukamatwa viongozi waliotuingiza mkenge kwenye mikataba lie bila nchi kutikisika. Kama vi-issue vidogo tu vya mabadiliko ndani ya CCM vimewagawanya sana wana-CCM he la kuwakamata wakulu?
Tukubali tu kuanza upya na turekebishe tulipojikwaa maana kila MTV alijua kuwa tulikuwa tu Aliya kwenye madini japokuwa hatukujua kwa kiasi gani. Ukifuatilia sana mambo anayofanywa na Magufuli utaamini tumepata sana Bahati ya kumpata huyu jamaa. Nchi majirani wamekuwa wakitucheka sana kuwa sisi watanzania tumelala kutokana na jinsi tulivyokuwa tukiendesha nchi yetu lakini pole pole wana za kutuchukia kimoyomoyo kwa kuwa WASIYEMTAKA NDIYE KAJA.
ni chizi tu ndio weza anaye kuhangaika na anae mcheka yupo uchi na anamuacha alie mvua nguo
 
Qatar hadi sasa hizo nchi wanazodai inasaidia magaidi hawajaonyesha ushahidi wowote hii ni vita juu ya rasilimali maana Qatar imepiga hatua kubwa eneo la ghuba kwa biashara na uchumi wake unaimarika ingawa ni nchi ndogo ukilinganisha na saudia Arabia hivo ni wivu tu wa maendeleo waarabu wanatafuta sababu
Ni kweli ulivyo sema mkuu ndio maana Jana baada ya shambulio lililofanywa na ISIS nchini Iran, Saudi Arabia na USA zimeshutumiwa kuwafadhiri magaidi wa ISIS ikumbukwe shambulio lajana (Iran) limetekelezwa wiki moja baada ya ziara ya Trump mashariki ya kati(nchi za waarabu).Hao waarabu wanamuonea wivu tu mwenzao kwa hatu ya kimaendeleo aliyopiga ukilinganisha na wao.
 
Kijana bado sana mkuu hii picha bado uniangalia kwenye tv zenye antenna ya analogy kwaiyo unaona chenga nyingi kuliko picha !!!!
Unaidanganya nafsi yako bure hakuna litakalo tendela bila kuwa kamata waliyo ingiza nchi kwenye mikataba tata !!!
Kama kweli tumempata akamate mali zote zilizopatikana kwa malipo haramu tutampa hii nchi milele vinginevyo ni kelele za chura hazizuwie ngombe kuendelea kunywa maji!!!
Narudia kusema siyo rahisi kwani inajulikana wazi kuwa wa kwanza kukamatwa atakuwa Mkapa. Rais hawezi kuafford kuwa Adui wa viongozi wote wakubwa wa CCM kwani jinsi alivyoleta mageuzi wengi wao wanamtafutia visababu ili aonekane hawezi ndio maana walitaka kubadilisha utaratibu wao wa kumwachia mgombea kipindi cha pili ili wampinge 2020 na watendaji wengi wa CCM hawampendi kwa kuwa amewabania mirija yao ya wizi.
 
Mimi na wewe tunakubaliana kila kitu tatizo linakuja wote tunajuwa misimamo ya hivyi vyama ni siasa kali wakati mwingine watu wanachagua vyama ni ile hali ya maisha watu wanakuwa wana matatizo makubwa wanaona hawa ndio solution ila kwa hali halisi hawa ni matatizo. chukulia kwetu Tz watu waunde chama Islamic something au Christian something kama Nchi itakubali upuuzi huo japo vinaweza kwenda kushinda uchaguzi katika baadhi ya majimbo lakini ni hatari kwa Taifa. kama unakumbuka Algeria ndio ilikuwa nchi ya kwanza kwa Brotherhood kushinda lakini walitolewa haraka kwa nguvu imekuja kuwa ulikuwa uamuzi sawa leo Algeria iko stable. Muslim brotherhood wako vizuri katika misaada kwa maskini lakini katika siasa hawawezi maana hata Tunisia baada ya vacuum tu wakachukuwa nchi lakini wameshindwa. Brotherhood ndugu yangu sio watu wazuri wanatumia dini ili kujificha kwa malengo ya kisiasa ila lazima tuwe wa kweli Saudia pia ni tatizo kubwa maana alikuwa analea wahabi ila ni kama wanaanza kuwatoa taratibu ndio maana nasema hakuna msafi katika hili. zamani sisi tulikuwa hatujui kubaguana mambo ya dini ni pale Saudia alivyoanza kusambaza ideology za wahabi duniani ndio leo tuko hapa. tofauti ya wahabi na brotherhood, wahabi wana fikra mbaya na hatari na brotherhood wanachukua advantage ya umaskini wa watu kujipenyeza kisiasa sasa kuna nchi kama UAE na Egypt hawawezi kukubali.
Umajitahidi kueleweka ndugu
 
Back
Top Bottom