Mimi ndugu yangu sikushauri kabisa kuingia partnership kwa client base na networkuliyotengeneza. Binafsi siamini mtu kuweka pesa anastahili kuwa partner kwani una anza kugawa uhuru wako na decision making kwa 50%. I am sure una assets ambazo unaweza ukazitumia kama collateral na kwa ulivyo...
Acha upumbavu wewe hivi kuna model yoyote yakuafata kwa Magufuli? Kwenye nini uchumi, demokrosia au social interaction au diplomasia? Naomba utoe facts
Risky ya utalii unayoingolea wewe bank pia wanaiona hayo mengine ya shareholder wengine mimi siko huko kwani my partner is my wife ambao we are all sailing on the same boat
Mimi ni mfanya biashara wa mambo ya utalii katika malazi na ushauri wa biashara katika mambo yanayo husiana na uwekezaji katika biashara ya utalii. Nina uzoefu mkubwa katika biashara hii na ni msomi wa ngazi ya stashahada na shahada ya utalii na utawala wa biashara. Nimeyumba katika biashara...
Hello Doctors,
I have been diagnosed with hypertension since February last year, so I am comfortably in telmisartan H 80+125mg medication which helps me but sometimes my BP spikes to 170/103. Well, my physician has been advising me to start taking amlodipine which I think is 15-20mg.
My...
Tushaona ndoa ngapi wanafanyiwa hivyo vyote na bado wanasaliti na hatimae ndoa kuvunjika. Na bado huwa hawajuti kwani mkisha achana akienda kwa huyo aliyekuwa anakusaliti nae bado atachepuka tena!! Ni kumuomba Mungu tu
Ni kweli mwanamke anapokuwa na hela na elimu kumzidi mume wake hakika dharau itakuwepo, ila mimi sisemi wanawake wenye hela na elimu wasiolewe lahasha waolewe kama kawaida ila wewe muowaji isiwe tu umeenda kuoa sababu umevutiwa na status yake. Hapo ndo inapokuwa shida
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.