Recent content by blessed 7

  1. blessed 7

    JamiiForums Tanzania Ajali njiapanda ya kilingeni

    Wangemsitilii angalau kumrekodi ktk hali hio ni udhalilishaji .
  2. blessed 7

    JamiiForums Tanzania Toyota hizi...!

    Hahahahah inakuwa mikononi mwa israelii
  3. blessed 7

    JamiiForums Tanzania Toyota hizi...!

    Yeah ,you have to maintain on a high way at least 100 to 120 not more than that.
  4. blessed 7

    JamiiForums Tanzania Toyota hizi...!

    Nasukuma hii kitu ,inahitajii umakin ,ila at least ubebe mzigo nyuma au watu kidogo la sivyoo Mbingu zitakufungukiaa na utapokelewa kwa shangwe kubwa.
  5. blessed 7

    JamiiForums Tanzania Toyota hizi...!

    Wanaita dege la chinii ahahahah ,inavuta kwa haraka sanaa
  6. blessed 7

    JamiiForums Tanzania Toyota hizi...!

    Ipsum ni hatare jombiii ,ni nyepesi balaaa 100km/hryake ni kama 130km/hr
  7. blessed 7

    JamiiForums Tanzania God’s time is the best

    Ni wachace wataipenda hii story ,wengi wanpenda upuuzi .ubarikiwe sana kwa ujumbe
  8. blessed 7

    JamiiForums Tanzania Je, wasumbuliwa na kunguni..?usihofu kumteketeza ni rahisi sana

    Hahahahhahaha sawasawa mzimu wa kolelo
  9. blessed 7

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Za mbelee
  10. blessed 7

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Shocks imara kabisaa za ipsum new model bei ganii
  11. blessed 7

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure juu ya gari yako

    Mount zinazotenganisha engene na body LA garii zitakuwa zimeisha kwahio engine for somehow inagusa body ndo màana linashake kacheki kwa fundi au brake disks au Rotors zitakuwa zimetumika sana ile surface inakuwa haipo level.
  12. blessed 7

    JamiiForums Tanzania Nimenusurika kichapo mfungo huu wa ramadhani

    Tena mi natafunaga tu mbele yaoo ,wananitoleaa mijicho tuu ,ila hawathubutuu huo upuuuzi ,juzii nilikuwa napiga tikiti langu mbele ya msikitii na maustadhii kama wotee ,naona kabisa wanamind ila ndo wakujitoa kafaraa anakosekana
  13. blessed 7

    JamiiForums Tanzania Pikipiki aina ya BMW F800 ya mwaka 2013 inauzwa

    Sorry ni 240mph au 240 kmph
  14. blessed 7

    JamiiForums Tanzania Kubadili engine ya harrier 3.0 four

    Nimekupata vema mkuu ,thanks.
Back
Top Bottom