Recent content by bless on

  1. bless on

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli ubongo wa binadamu unaweza kuwasha bulb ya 10watts ?

    Sasa usipotumia maji itakuwaje na maji ni uhai dawa ya meno tafuta ambayo haina fluoride
  2. bless on

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli ubongo wa binadamu unaweza kuwasha bulb ya 10watts ?

    Huo uwezo huwezi kuupata unakunywa maji yamewekwa fluoride na kwenye dawa ya meno pia unakutana nayo tena fluoride unategemea utapata hiyo nguvu? Mzungu sio mjinga.
  3. bless on

    JamiiForums Tanzania Mdharau asili hufa kikatili

    Usiue mdudu au mnyama ambaye hana madhara kwako karma is real kila kiumbe kinastahili kuishi.
  4. bless on

    JamiiForums Tanzania SHOW YA FALLY IPUPA DAR, NI SOLD OUT, WAANDAAJI JITAFAKARINI, 28 NOVEMBER MBALI

    Huyo Fally ipupa ni kama Ali akiba kiboko yake feregola ila hawamletagi bongo me namfataga huko huko..
  5. bless on

    JamiiForums Tanzania SHOW YA FALLY IPUPA DAR, NI SOLD OUT, WAANDAAJI JITAFAKARINI, 28 NOVEMBER MBALI

    Huyo jamaa ana kismati tu Lakini hawezi kumfikia feregola
  6. bless on

    JamiiForums Tanzania HOJA Hivi nini kinaendelea? Mbona Masaki imekuwa kama "Construction Site"? Kulikoni kila sehemu inajengwa?

    Upo sahihi niliwahi kuishi mitaa ya chole road miaka 20 iliyopita nilipojaribu kwenda miaka ya hivi karibuni nikapotea.
  7. bless on

    JamiiForums Tanzania Mizimu inaweza 'kukuona' ukiwa kwenye faragha:"

    Pia kwa ndugu zetu waroma (RC) huwa wanawakumbuka mizimu Yao kwa kutumia neno mtakatifu (st)mfano st Peter (Huu ni mzimu) na mifupa yake inakuwepo pale mbele kabisa kwa ajili ya ibada.
  8. bless on

    JamiiForums Tanzania Mizimu inaweza 'kukuona' ukiwa kwenye faragha:"

    Umesahau lile kaburi lililoshindikana kuhamishwa? Iyo ndio nguvu ya mzimu.
  9. bless on

    JamiiForums Tanzania Mizimu inaweza 'kukuona' ukiwa kwenye faragha:"

    Safi kabisa mkuu nakuelewa hao ndio Mungu Sasa.
  10. bless on

    JamiiForums Tanzania Mizimu inaweza 'kukuona' ukiwa kwenye faragha:"

    Fafanua kwanza mizimu ni nini ili twende sawa
  11. bless on

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Dini Kongwe Duniani

    Yes, ndo maana nikaweka list ya DINI kuanzia DINI kongwe kabisa maana yake ukristo na uislam ni DINI za juzi tu.
  12. bless on

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Dini Kongwe Duniani

    Dhana ya Mungu ni Pana watu wanaichukulia tofauti
  13. bless on

    JamiiForums Tanzania Utajiri hauwezi kununua furaha je umaskini unanunua nini?

    Nina hardcopy
  14. bless on

    JamiiForums Tanzania Utajiri hauwezi kununua furaha je umaskini unanunua nini?

    Mambo ya the richest man in Babylon subiri watakuambia MAISHA hayana formula ni kweli ila yana kanuni.
  15. bless on

    JamiiForums Tanzania Jinsi Dar Es Salaam inavyoleta Huzuni Moyoni mwangu

    Ndio sehemu naona vijana wengi wakiteketea kwa wingi kwasababu yakutaka kuishi au kuendana na life style ambayo iko juu ya uwezo wao Pia ndio sehemu pekee vijana wengi wa mikoani wakimaliza vyuo hutamani kubakia kupambania kombe mwisho wa siku huishi maisha magumu sana kupita maelezo kumbe...
Back
Top Bottom