Mikononi mwa umma chini ya Chadema!!! Haiko sahihi maana hata chadema bado ni chama cha kisiasa tu. Nadhani hapakuwa na haja ya kusema mikononi mwa umma chini ya chadema kuonyeshA jidihada zao bali ungesema 'mikononi mwa umma'.
Jana tumeshuhudia utolewaji wa tuzo kuwa kabisa barani Afrika za MtV MAMA award, ambapo Kwa Mara ya kwanza wasanii wengi kutoka Tanzania walitajwa kuwania tuzo hizo. Lakini cha ajabu na kilichoshtua wengi ni pale ambapo hakuna hata msanii mmoja kutoka Tanzania akiyenyakua tuzo hizo. Nchi...
Baada ya Burundi kuweka wazi nina ya kujiondoa katika mahakama ya makosa ya kiarifu yaani ICC wiki hii Afrika Kusini kama taifa lenye nguvu kiuchumi hayo imetangaza kujitoa katika mahakama hiyo, na mataifa mengine ya Kiafrika kama Kenya na Namibia yako mbioni kuweka wazi kujiondoa. Je ni suala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.