Recent content by blackwoman

  1. B

    live uzinduzi wa ccm sombetini

    kibo ya chadema yuko.
  2. B

    Mwigulu Nchemba akataliwa Lang'itomoni Kiteto

    kata ya sombetini ni yetu, niko uwanjani watu wanajuja kwa wingi sana.
  3. B

    live uzinduzi wa ccm sombetini

    Niko uwanja wa mbauda sokoni watu wanazidi huku wakiwa wamependeza kwa kijani na njano kujaa kuna piki piki, magari na mabus mawili. CCM nambari wani! hii kata ni yetu tu ninapicha ila sijui namna ya kuziweka..
  4. B

    Kila mwanamke ana dream ya kuwa na bwana wa Kisukuma

    wasukuma wanaupole wa kinafiki na unyenyekevu wa nje fika ndani sasa ndo utajua hakuna watu wenye roho za kikatili kama hawa watu,kwa mashine kweli wamejaliwa.mm sitaki kusikia kabisa habari za hao watu.
  5. B

    ARUSHA: WanaCCM washinikisha viongozi wao wajiuzuru!

    wanaona aibu kwa waliyosema eti tumejilipua bomu ili tupate kura za huruma wana cdm tunahofu ya mungu.
  6. B

    Msaada: Fundi wa mashine ya kufua nguo

    Amani ya bwana iwe nawe pia,mm nafahamiana na fundi wa mashine za kufulia je uko siriazi na uko wapi? mm na a town.
  7. B

    Mume wangu nampenda sana, lakini...

    pole sana dada,kwani kufika kileleni ndio furaha kuu ya ndoa,ila hata kama anakauli mbaya tafuta sababu ya hiyo kauli mbaya,mbona mwanzo haikuwepo.vitabu vya dini vinasema mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
  8. B

    Wanawake wa kiafrika hawajui kuhamasisha kufanya tendo la ndoa

    ukiangalia kwa hao wazungu wanajipanga kwanza kabla ya kuzaa.ndio maana mtoto akizaliwa tu analala kitanda chake.
  9. B

    Unafanya nini baada ya kumaliza ku 'DO'?

    Acheni utani na 4 kwanza
  10. B

    Unajisikiaje mtu akikwambia ni CCM

    Mtu akiniita ccm nahisi kama amenivua nguo.
  11. B

    Magazeti mengi leo yana stori za kuishutumu serikali na jeshi la polisi kuhusu matukio ya Arusha

    Wana habari hata wao wamechoka kutolewa meno bila ganzi,na wanajua cdm ni wasema kweli.
  12. B

    VIDEO: Mlipuko wa Bomu Arusha - Sehemu ya Kwanza...

    mhh! nikwanini watanzania tunafanyiana unyama kiasi hiki?
Back
Top Bottom