Mume wangu nampenda sana, lakini...

Mume wangu nampenda sana, lakini...

tatizo kumbe unalijua? mkalishe umwambie kuhusu kukuandaa....
 
Habari wana jamvini

Nina shida kidogo ndani ya familia yangu, na mara nyingi nimepata ushauri mzuri tu kutoka ndani ya wana jamii wa JF japo wengine watakukejeli na mengine mengi.

Leo nimekuja umu nikiomba mawazo yenu au dawa ya kutibu ili tatizo, mimi nina mume wangu na nampeenda saaana, na tuna mtoto tayari mkubwa tu, kipindi cha nyuma nilikua ninafurahia sana kipindi tupo sita kwa sita, ila toka mwaka huu uanze kiukweli si enjoy mapenzi yake kabisa, mpaka natamani kama tukae dada na kaka, ila ilo haliwezekani nami sikutoka nyumbani kwetu kufuata undugu, yeye ana enjoy ila mimi anifikishi kabisa, na sifikilii kutoka nje ya ndoa na ndo maana nimekuja umu najua kuna washauri wazuri mnisaidie naomba mchango wenu wa mawazo na uwe wa kujenga na si kubomoa sababu nampenda sana mume wangu na nina wivu nae sana na namueshimu sana, inafikia sa nyingine akitaka nambaniania najua anifikishi so nakuwa simtendei haki mume wangu. Na toka niolewe na huyo mume wangu sijawai toka nje ya ndoa na sitegemei japo wote bado vijana.

Mbane huyo kishaanza "mulika mwiiiiiizi, mulika natochi mulika mwiiizi....
 
pole sana dada,kwani kufika kileleni ndio furaha kuu ya ndoa,ila hata kama anakauli mbaya tafuta sababu ya hiyo kauli mbaya,mbona mwanzo haikuwepo.vitabu vya dini vinasema mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
 
Discussion kama hizi zinanifanya niwakumbuke Mbu na MwanajamiiOne pamoja na nyumba kubwa.

I wonder where are they . . .!
Hahah Kipipi, nipo bwana tatizo Soulmate alifuma PM za watu kwangu basi wivu moja kwa zote.................... Dada mtoa mada, mengi yamesemwa ila mie ninaongezea tu kuwa communicate, communicate and communicate more. Kaa chini wewe na mumeo zungumzeni huku mkireflect zamani mlikuwaje na sasa ikoje. Pili jaribu kupunguza msongo wa mawazo, jifunze kupostpone issues za kazi, maisha e.t.c muda wa kukutana na mumeo. Uweke uwe special moment ambayo mo matter what you are there to enjoy.
 
Last edited by a moderator:

Bora hata nimekuona.
Hivi nyie mnaendaga wapi jameni???

Tumemiss mengi sana ebu njooni basi walau kama zamani.

Btw, hope you are well and good.
Source : AshaDii (huyu nae siku hizi sijui kawa pongo???? LOL)
 
Last edited by a moderator:
We ushatamani nje unatafuta justification tu, laiti ningekuwa na nidhamu usingejaribu kumfikiria mumeo hakutoshi hata siku moja. Hio tabia ni mbaya sana
 
Habari wana jamvini

Nina shida kidogo ndani ya familia yangu, na mara nyingi nimepata ushauri mzuri tu kutoka ndani ya wana jamii wa JF japo wengine watakukejeli na mengine mengi.

Leo nimekuja umu nikiomba mawazo yenu au dawa ya kutibu ili tatizo, mimi nina mume wangu na nampeenda saaana, na tuna mtoto tayari mkubwa tu, kipindi cha nyuma nilikua ninafurahia sana kipindi tupo sita kwa sita, ila toka mwaka huu uanze kiukweli si enjoy mapenzi yake kabisa, mpaka natamani kama tukae dada na kaka, ila ilo haliwezekani nami sikutoka nyumbani kwetu kufuata undugu, yeye ana enjoy ila mimi anifikishi kabisa, na sifikilii kutoka nje ya ndoa na ndo maana nimekuja umu najua kuna washauri wazuri mnisaidie naomba mchango wenu wa mawazo na uwe wa kujenga na si kubomoa sababu nampenda sana mume wangu na nina wivu nae sana na namueshimu sana, inafikia sa nyingine akitaka nambaniania najua anifikishi so nakuwa simtendei haki mume wangu. Na toka niolewe na huyo mume wangu sijawai toka nje ya ndoa na sitegemei japo wote bado vijana.

Hilo tatizo linasababishwa na kukinaiana, ukubali ukatae ila tu umemkinai mwenzio. Nimesha experience hio hali nikaumizwa vibaya na mwanamke. You no longer find the man attractive to you because hakuletei mapicha picha ama yupo too available when you demand his presence.
Anakujali mno, na hio ndio shida ya wanawake...Hamridhiki mkipendwa.
 
TALK TO YOUR HUSBAND. If something is missing tell him. He deserves to know
kabla hujaja hum ndani kuomba ushauri

Dont forget what life and marriage is about.
Grass isnt always greener on the other side.
so take time to water your own grass..

You nailed
 
Back
Top Bottom