Recent content by Blackman

  1. Blackman

    JamiiForums Tanzania Dunia ya wajinga, ulimwengu wa werevu

    Ndo maana matatizo hayaishi miaka na miaka sababu wajinga ni wengi
  2. Blackman

    JamiiForums Tanzania Waziri wa usalama wa taifa nchini Israel, Itamar Ben-Gvir anyimwa visa ya kutimkia Marekani.

    Ulianza vizuri uliposema dunia inabadilika ukatoa na mifano kadhaa ila ukaishia njiani nilitegemea mifano yako kufika hadi malawi, kama ulivo elezea rwanda na burundi au ndo yale ya nyani kuona mk**nd wa mwenzie tu
  3. Blackman

    JamiiForums Tanzania Pamoja na ubingwa wa ndondokela, Arsenal inapaswa kumfukuza Mikel Arteta

    Ndivyo ilivyo mmoja anapaswa kusuasua ili mwingine abebe, msimu uliopita bila arsenal kusua sua man city angebeba?
  4. Blackman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwenye ukweli uongo hujitenga!, Baada ya idadi ya Vifo 518 kutolewa; Je, tuwashitaki wazushi waliotuchafua kwa Uzushi wa Maelfu ya Vifo?

    Bwana paskali anamaanisha kwamba wanatuchafua kuwa tumeua maelfu wakati tumeua jelo tu hata buku hawafiki🤣🤣🤣🤣🤣 Paskali senge sana
  5. Blackman

    JamiiForums Tanzania Nanauka: Serikali inatazamia kuanzisha benki ya Vijana

    Chezea tarehe 29 October, wanaogopa yasije yakajirudia ila akili fupi plus na kiburi ko hawajui wafanyeje. Wanahangaika tu
  6. Blackman

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ulimwengu unafuata hesabu zilizotoka akilini mwa Binadamu? Vita kali dhidi ya Atheists Ep3

    Sasa nyie mtakuwa wajinga, kwamba mnaamini tu kwa sababu hakuna majibu ya moja kwa moja hamuwazi pengine hayupo au alikufa au hata pengine ni mwanamke. Lakini vipi huwa hamujiulizi yeye alitoka wapi?
  7. Blackman

    JamiiForums Tanzania Hakuna jipya chini ya jua: Kinachomkuta Marekani nchini Iran kiliwahi wakuta watangulizi wake

    Mara nyingi mnaosema tupo wachache ndo MADUNYA yenyewe
  8. Blackman

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ulimwengu unafuata hesabu zilizotoka akilini mwa Binadamu? Vita kali dhidi ya Atheists Ep3

    pharao mimi ni miongoni mwa watu nisiye amini ktk dini, siamini ktk dini kwa sababu dini zote ni gunduzi za binadamu. Lakini ktk kumshawishi binadamu azikubali ilibidi waseme zimetoka kwa Mungu Kuhusu nyinyi mnaoamini Mungu hata nyinyi mna enterest zenu , wengine mnaongozwa na hofu ya kuchomwa...
  9. Blackman

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ulimwengu unafuata hesabu zilizotoka akilini mwa Binadamu? Vita kali dhidi ya Atheists Ep3

    Shida ni kwamba mara nyingi wajinga hujiona ndo werevu zaidi. Kwa hiyo ukiwa mwerevu usibishane bali jifunze
  10. Blackman

    JamiiForums Tanzania Ukifanya vitu hivi vitakusaidia sana kwenye harakati zako za utafutaji au mafanikio

    Nikajua mambo ya maana kumbe ni yale yale "AFRICAN MENTALITY "
  11. Blackman

    JamiiForums Tanzania FALSE Picha: Benjamin Netanyahu kwisha habari yake!

    Unaa Unaambiwa elimu ya madrasa ni bora kuliko elimu dunia
  12. Blackman

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuhama Catholic

    Shida ni jinsia ya hiyo sanamu au? Vp kama ingekuwa ya kiume
  13. Blackman

    JamiiForums Tanzania Ujinga ni biashara kubwa ambayo imetajirisha wengi

    Kwani we nani
  14. Blackman

    JamiiForums Tanzania Naombeni VPN za uhakika

    Nani anazima satellite nawe
Back
Top Bottom